Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Hicho. Sio kijji ni eneneo la ushirikina huko kanda ya ziwaKuna vijiji ndio nimevijua leo!, lakini hebu tuongelee umaarufu hivi kuna kijiji maarufu kama GAMBOSHI Tanzania!?..
Lushoto, Tanga. Umeua mkuu!!!!Lupasu akifahamiki kihivyo kwani Mkapa yeye anajiita Mpare/Mchagga....na wananchi wa huko Lupasu wala hawana mpango naye kwani haonekani kabisa huko labda ashikwe tu na hamu ya kula panya then anaibukia huko ghafla kwa dakika kadhaa tu kisha anarudi kwao Lushoto na Kilimajaro.
Uuuuuuiiiiiii, mi simoNaona unavomchokoza JIWE.....😀😀😀
Daaaaaaaaaaaa, ebwana kweli ujue.Nashangaa mmepasahau Samunge
Mbutaa, acha utani, mtu asahau kwao wakati wengine wanajenga AirportMkapa kazaliwa Lupasu ila kakulia Kilimanjaro kiasi kwamba kule Lupasu anakwenda kula panya tu na ugali wa muhogo. Hata lugha yake ya kimakua kishaisahau kitambo, yeye ni kichagga na kisambaa tu.
Lupasu na ngarash ndo nimevijua leo nadhani havikutajwa sanaHabari wana JF.
Leo nawaletea vijiji maarufu zaidi Tanzania bara.
1. Kolomije: Hiki kipo wilayani Misungwi mkoani Mwanza. Hiki kilijipatia umaarufu kuliko vijiji vyote tangu march 2017. Hiki ni kijiji alichozaliwa Mheshimiwa Paul Makonda, RC Dar.
2. Butiama: Hiki kipo wilayani Butiama mkoani Mara. Huko ndiko alikozaliwa mwasisi wa Taifa hili Julius Nyerere.
3. Msoga: Hiki kipo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Huku ndipo anapoishi na nyumbani kwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete.
4. Lupasu: Hiki kipo wilayani Masasi mkoani Mtwara. Huku ndipo alipozaliwa Rais mstaafu Benjamin Mkapa.
5. Ngarash: Hiki kipo wilayani Monduli mkoani Arusha. Huku ndiko alipozaliwa Edward Lowassa.
NB: Chato sio kijiji bali ni mji na halmashauri iliyopo wilayani Chato mkoani Geita.
Nawasilisha.
HatariKuna kingine kinaitwa kwamsisi kipo Tanga ni maarufu kwa ndumba simba na yanga zinapiganaga vikumbo huko
KwaniniToa kijiji namba 4 na 5