Vijue vijiji vitano maarufu Tanzania bara

takwimu ya Twaweza.
bora yule jamaa alosema Gamboshi alipatia sana kwa asilimia kubwa,
yani ya hivyo vijiji ulivyotaja angalau Kolomije unaweza julikana na Butiama,ila vingine ni ✂
Acha bwana!!!!
 
Mpare kibipi?
 
Hicho. Sio kijji ni eneneo la ushirikina huko kanda ya ziwa
Wewe ndio hujui sasa, Gamboshi sio eneo ni kijiji kama kolomije!.. Bila kuruhusiwa au kuwa na teknolojia kama yao huoni maendeleo yao!.
Kama Wakanda!
 
Umesahau kijiji cha wavuvi kinapatikana kurasini ndpo daraja la kigamboni lilipopitia
 
Sababu kubwa ni kwamba Mkapa na Lowasa hakuwahi kuwa kwenye matukio ama vituko vilivyo sababisha nchi isimame, pamoja na kwamba wamewahi kushika nyadhifa za juu sana serikalini
 
Hiyo namba 5 haters wa Lumumba watakuambia itoe haina maana yeyote![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Nanjirinji?
Geza Ulole?
 
Sababu kubwa ni kwamba Mkapa na Lowasa hakuwahi kuwa kwenye matukio ama vituko vilivyo sababisha nchi isimame, pamoja na kwamba wamewahi kushika nyadhifa za juu sana serikalini
Ina maana hivi vingine watoka huko ni watu wa matukio na vituko?
 
Chamwino
Namanyere(kutokana na hoja ya kukiombea maji hichi jijini Mbunge Kesi)
 
Sio kweli.. Mkapa amesaidia sana huko kwao na anaenda mara kwa mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…