Vijue vijiji vitano maarufu Tanzania bara

Kwani huyu mheshimiwa wa sasa anatokea kojiji gani? Au yeye ni wa mjini?

Btw sijaona kijiji changu cha Nakapanya hapo...
 
Kuna kinaitwa HEDARU ni maarufu sana kwa usambazaji WA mirungi kipo same
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…