Vikao vya CCM Dodoma Vyaiteka Nchi. Habari zake Zatawala kila Kona Na Kuteka vyombo vyote Vya Habari, Maazimio Yake kutetemesha Nchi

Ndio nasoma hapa. Acha basi umbra. Watu wanakuwa bis hata hawajui hii kitu. Mmeshamtoa pm ?angalau kupotezea maboya watu jinsi mlivyo inkompitenti
Rais wetu mpendwa ndio anajuwa Nani wa kufanya Naye kazi na Nani akae katika nafasi ipi kwa hiyo usimpangie mh Rais habari za uteuzi na utenguzi
 
Nauliza tu "Hivi Mwanaume mwenye kihemuhemu na kihere here hata kwenye vitu vya ovyo ovyo mnamwita nani vile" ? Mliosoma vikurupushi,viambishi na vielezi mnisadie!!
 
Unaona matatizo waliyo nayo wananchi huduma za kutatanisha Rushwa kila Kona zinakufurahisha kuona Wapiga dili wanafanya mema.
Hii ni Kwa sababu ya kuchezea pesa za walipa Kodi kinyume na hapo Wala hizo vikao havingalifanyika!!!
Chini y uongozi wa mama Samia hakuna atakaye bakia salama ikiwa atabainika kufuja fedha za umma, kikubwa Tuendelee kumwamini mh Rais na kumpa ushirikiano,lakini pia waweza kutoa taarifa ukiona vitendo vya Rushwa katika maeneo yako ya kazi, mama Anayo dhamira ya dhati katika kuijenga nchi hii kuwa Bora na yenye maendeleo zaidi ya hapa ilipo
 
Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.

Wananchi wanasubiri kwa Hamu Sana maazimio yake, Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, wananchi wanatambua kuwa utulivu ndani ya CCM ndio utulivu na usalama wa Taifa letu, Wananchi wanatambua CCM ndio chama kilicho na uchungu na watanzania, Wanatambua kuwa kesho ya Tanzania iliyo Bora IPO mikononi mwa CCM

Watanzania wanatambua ushupavu wa CCm katika kusimama nao katika shida na Raha, wanatambua kuwa CCM ndio mtetezi wao,msemaji wao,mfariji wao, Sauti yao, Nguvu yao na Tumaini lao. Watanzania wanyonge wanatambua kuwa ofisi za CCM ndio mahali pekee unapoweza kupokelewa na kero yako na ukaondoka na majibu ya matumaini wakati vyama vingine havina hata ofisi za kuwakutanisha watu

Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii kwa miaka mingi Sana sababu ya kubeba ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania, itaendeleaa kuaminika na kupigiwa kura uchaguzi Hadi uchaguzi kwa kuwa Ni chama chenye usikivu,unyenyekevu,ushupavu na umadhubuti wa kiuongozi na safu ya kiuongozi iliyokamilika na kuleta matumaini kwa watanzania wote

Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Naona unatafuta ajira kwa uchawa wako
 
CCM MTESAJI WA WANANCHI MIAKA 60 YA SHIDA ONA BINADAMU ANAVAA MASHATI 4 KWA UMASIKINI WA CCM ona Wanafunzi nguo walizovaa sababu ya Umasikini Ona Mwananchi anavyokamuliwa KODI mpaka anakonda hivyo
1664537002242.jpg
1661831454425.jpg
JamiiForums1469240031.jpg
 
Ma huu umbeammeleta hapa anajua?Hakuna wa kumpangia ndio maana mambo yakigoma mkianza story sijui anajumiwa sijui nini tunawacheka tuu.
Rais wetu mpendwa ndio anajuwa Nani wa kufanya Naye kazi na Nani akae katika nafasi ipi kwa hiyo usimpangie mh Rais habari za uteuzi na utenguzi
 
Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.

Wananchi wanasubiri kwa Hamu Sana maazimio yake, Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, wananchi wanatambua kuwa utulivu ndani ya CCM ndio utulivu na usalama wa Taifa letu, Wananchi wanatambua CCM ndio chama kilicho na uchungu na watanzania, Wanatambua kuwa kesho ya Tanzania iliyo Bora IPO mikononi mwa CCM

Watanzania wanatambua ushupavu wa CCm katika kusimama nao katika shida na Raha, wanatambua kuwa CCM ndio mtetezi wao,msemaji wao,mfariji wao, Sauti yao, Nguvu yao na Tumaini lao. Watanzania wanyonge wanatambua kuwa ofisi za CCM ndio mahali pekee unapoweza kupokelewa na kero yako na ukaondoka na majibu ya matumaini wakati vyama vingine havina hata ofisi za kuwakutanisha watu

Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii kwa miaka mingi Sana sababu ya kubeba ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania, itaendeleaa kuaminika na kupigiwa kura uchaguzi Hadi uchaguzi kwa kuwa Ni chama chenye usikivu,unyenyekevu,ushupavu na umadhubuti wa kiuongozi na safu ya kiuongozi iliyokamilika na kuleta matumaini kwa watanzania wote

Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Kumbuka nafasi za kuteuliwa zimejaa lakini.
 
CCM MTESAJI WA WANANCHI MIAKA 60 YA SHIDA ONA BINADAMU ANAVAA MASHATI 4 KWA UMASIKINI WA CCM ona Wanafunzi nguo walizovaa sababu ya Umasikini Ona Mwananchi anavyokamuliwa KODI mpaka anakonda hivyo View attachment 2415631View attachment 2415635View attachment 2415643
Taifa lipi na nchi ipi wasiolipa Kodi au tozo au ushuru? Nchi gani iliyoendelea na kupiga hatua za kimaendeleo pasipo kubeba mzigo wa uwajibikaji wake mikono mwa wananchi wake, nchi gani ambako maendeleo yake yalishushwa toka angani, nchi gani ambako umaskini ulikwisha kwa kutegemea misaada na mikopo pekee?

Nchi zote zilizopiga hatua kimaendeleo zilipita njia hii tunayopitia sisi iliyotengenezwa na Rais wetu shupavu mama Samia, njia hii ndio njia ya kusonga mbele kwa haraka, hii ndio njia ambayo wazalendo wote huwapitisha wananchi wao Kama alivyofanya Rais wetu mama Samia, Ni CCM hii kupitia tozo na Kodi imefanya mapinduzi makubwa ya kimaendeleo katika kila secta na kila eneo ndio sababu ya Kuendelea kuaminika na watanzania wote, mfano majuzi hapa kupitia tozo kumejengwa vituo vya Afya takribani 234 na vyumba vya madarasa zaidi ya elfu nane na kutoa Elimu bure Hadi kidato Cha sita
 
Ma huu umbeammeleta hapa anajua?Hakuna wa kumpangia ndio maana mambo yakigoma mkianza story sijui anajumiwa sijui nini tunawacheka tuu.
Rais wetu mpendwa mama Samia Ndio kiongozi pekee mwenye Taarifa zote za nchii hii na anapokea Taarifa za nchi hii kila Siku ya Mungu, anataarifa zote zinazohusiana na wateule wake na anawafahamu wateule wake vizuri kuliko unavyowafahamu wewe na mimi
 
Hapana, niko mtaani kama kawaida, ila mtaa kwetu hakuna wazee hivyo ni ngumu kusikia wetu wakijadili habari za hicho chama cha wazee.
Vijana kwa Sasa wapo pamoja na CCM baada ya kutambua ulaghai na ubabaishaji wa upinzani na wapinzani
 
Huyu taahira ninamblock kuanzia sasa nisisome nyuzi zake tena
Mimi nitakuwa ninazisoma zako nikiziona maana Ni lazima nifahamu mawazo ya wengine, Ndio maana chama chako Cha chadema kinazidi kudumaa na kufufua kwa kuwa hakitaki kukosolewa Wala kushaurika , lakini CCM Ni chama kinachojisahihisha na kwenda na wakati ndio sababu ya Kuendelea kuwepo madarakani Hadi leo hii
 
Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.

Wananchi wanasubiri kwa Hamu Sana maazimio yake, Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, wananchi wanatambua kuwa utulivu ndani ya CCM ndio utulivu na usalama wa Taifa letu, Wananchi wanatambua CCM ndio chama kilicho na uchungu na watanzania, Wanatambua kuwa kesho ya Tanzania iliyo Bora IPO mikononi mwa CCM

Watanzania wanatambua ushupavu wa CCm katika kusimama nao katika shida na Raha, wanatambua kuwa CCM ndio mtetezi wao,msemaji wao,mfariji wao, Sauti yao, Nguvu yao na Tumaini lao. Watanzania wanyonge wanatambua kuwa ofisi za CCM ndio mahali pekee unapoweza kupokelewa na kero yako na ukaondoka na majibu ya matumaini wakati vyama vingine havina hata ofisi za kuwakutanisha watu

Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii kwa miaka mingi Sana sababu ya kubeba ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania, itaendeleaa kuaminika na kupigiwa kura uchaguzi Hadi uchaguzi kwa kuwa Ni chama chenye usikivu,unyenyekevu,ushupavu na umadhubuti wa kiuongozi na safu ya kiuongozi iliyokamilika na kuleta matumaini kwa watanzania wote

Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Got you 100%
 
Unatia huruma Sana.
 
Chama kimekaa madarakani zaidi ya miaka 60 bila ridhaa ya wananchi na eti kinategemea kuhujumu chaguzi na kufanya tu uporaji wa kura eti ndipo kibakie madarakani.

Chenyewe ndicho kinaandaa, kusimamia na kujitangaza eti kimeshinda kwenye chaguzi zao takataka hizo. Upumbavu mtupu. Mimi hata sijui kwamba hao wezi wa kura eti wanafanya sijui kikao sasa kinatuhusu nini hicho kikao. It's a total bull shit.
 
Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.

Wananchi wanasubiri kwa Hamu Sana maazimio yake, Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, wananchi wanatambua kuwa utulivu ndani ya CCM ndio utulivu na usalama wa Taifa letu, Wananchi wanatambua CCM ndio chama kilicho na uchungu na watanzania, Wanatambua kuwa kesho ya Tanzania iliyo Bora IPO mikononi mwa CCM

Watanzania wanatambua ushupavu wa CCm katika kusimama nao katika shida na Raha, wanatambua kuwa CCM ndio mtetezi wao,msemaji wao,mfariji wao, Sauti yao, Nguvu yao na Tumaini lao. Watanzania wanyonge wanatambua kuwa ofisi za CCM ndio mahali pekee unapoweza kupokelewa na kero yako na ukaondoka na majibu ya matumaini wakati vyama vingine havina hata ofisi za kuwakutanisha watu

Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii kwa miaka mingi Sana sababu ya kubeba ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania, itaendeleaa kuaminika na kupigiwa kura uchaguzi Hadi uchaguzi kwa kuwa Ni chama chenye usikivu,unyenyekevu,ushupavu na umadhubuti wa kiuongozi na safu ya kiuongozi iliyokamilika na kuleta matumaini kwa watanzania wote

Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Eh

Ova
IMG-20221106-WA0036.jpg
 
Attachments

  • IMG-20221112-WA0005.jpg
    IMG-20221112-WA0005.jpg
    38.9 KB · Views: 2
Shida umefakamia JF kwa spidi. Punguza spidi usiabike mbeleni.
 
Back
Top Bottom