Vikao vya CCM Dodoma Vyaiteka Nchi. Habari zake Zatawala kila Kona Na Kuteka vyombo vyote Vya Habari, Maazimio Yake kutetemesha Nchi

Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.

Wananchi wanasubiri kwa Hamu Sana maazimio yake, Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, wananchi wanatambua kuwa utulivu ndani ya CCM ndio utulivu na usalama wa Taifa letu, Wananchi wanatambua CCM ndio chama kilicho na uchungu na watanzania, Wanatambua kuwa kesho ya Tanzania iliyo Bora IPO mikononi mwa CCM

Watanzania wanatambua ushupavu wa CCm katika kusimama nao katika shida na Raha, wanatambua kuwa CCM ndio mtetezi wao,msemaji wao,mfariji wao, Sauti yao, Nguvu yao na Tumaini lao. Watanzania wanyonge wanatambua kuwa ofisi za CCM ndio mahali pekee unapoweza kupokelewa na kero yako na ukaondoka na majibu ya matumaini wakati vyama vingine havina hata ofisi za kuwakutanisha watu

Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii kwa miaka mingi Sana sababu ya kubeba ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania, itaendeleaa kuaminika na kupigiwa kura uchaguzi Hadi uchaguzi kwa kuwa Ni chama chenye usikivu,unyenyekevu,ushupavu na umadhubuti wa kiuongozi na safu ya kiuongozi iliyokamilika na kuleta matumaini kwa watanzania wote

Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Nasikia huko Marekani wameanzisha kanisa la shetani.

Na linapata wqumini wengi kweli kweli
 
Chama kubwa
 
Sema sometimes mnapenda Watu wawatukane Bure tu, sasa umetukuta tumekaa kwa Amani na utulivu, tunatafakari ada za January halafu unatuletea ushuzi hapa, kenge wewe
Serikali ya mama Samia inatoa Elimu bure na Elimu inayotolewa Ni Elimu bora
 
CCM ndio mahali pekee unapokuta vijana wameiva kiuongozi na wanabishana kwa hoja ,tofauti na wale wa upande wa pili yaani chadema wanatukana matusi utafikiri wamekatika mishipa yotee ya ufahamu vichwani mwao

Kumsifia rais sio kubishana kwa hoja. Huwa mnabishana wapi kwa hoja, maana hata midahalo huwa hamtaki. Ni kweli maana kwa sasa kusema ukweli dhidi ya serikali ni kutukana.
 
Itisha huo mdahalo nije kuwasambaratisha kwa hoja
 
Serikali ya mama Samia inatoa Elimu bure na Elimu inayotolewa Ni Elimu bora

Nitajie mtoto wa kiongozi wa CCM ambaye mtoto wake anasoma kwenye hizo shule za elimu ya bure, ili tupime ubora wa hiyo elimu bure.
 
Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.

Wananchi wanasubiri kwa Hamu Sana maazimio yake, Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, wananchi wanatambua kuwa utulivu ndani ya CCM ndio utulivu na usalama wa Taifa letu, Wananchi wanatambua CCM ndio chama kilicho na uchungu na watanzania, Wanatambua kuwa kesho ya Tanzania iliyo Bora IPO mikononi mwa CCM

Watanzania wanatambua ushupavu wa CCm katika kusimama nao katika shida na Raha, wanatambua kuwa CCM ndio mtetezi wao,msemaji wao,mfariji wao, Sauti yao, Nguvu yao na Tumaini lao. Watanzania wanyonge wanatambua kuwa ofisi za CCM ndio mahali pekee unapoweza kupokelewa na kero yako na ukaondoka na majibu ya matumaini wakati vyama vingine havina hata ofisi za kuwakutanisha watu

Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii kwa miaka mingi Sana sababu ya kubeba ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania, itaendeleaa kuaminika na kupigiwa kura uchaguzi Hadi uchaguzi kwa kuwa Ni chama chenye usikivu,unyenyekevu,ushupavu na umadhubuti wa kiuongozi na safu ya kiuongozi iliyokamilika na kuleta matumaini kwa watanzania wote

Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Hivi mpaka leo hujagunduaga tu kama wewe ni mtumwa pale lumumba?
 
Enderea kutumikishwa kama punda POLI IPO siku utatukumbuka machizi wengi walikua na mbwembwe kuliko wewe walipokosa uteuzi wamejiweka kando umebaki kikeyako kama stroke kasitafu itakua wewe .
Kwani wapi nilipozungumzia habari za uteuzi?
 
Bidii Yako Nini kumbe unataka ?kama SI uteuzi umejipa kazi ya kuwatukana mitandaoni watu wasio na makosa na ukachagua kuyatetea majizi yalioitafina nchi hii miaka na miaka mpaka tunatamani mkoloni aludi japo tupumue
 
Kama unawajitaji wakoloni nenda uwafuate huko waliko utuache sisi tukiijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe
 
Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.

Wananchi wanasubiri kwa Hamu Sana maazimio yake, Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, wananchi wanatambua kuwa utulivu ndani ya CCM ndio utulivu na usalama wa Taifa letu, Wananchi wanatambua CCM ndio chama kilicho na uchungu na watanzania, Wanatambua kuwa kesho ya Tanzania iliyo Bora IPO mikononi mwa CCM

Watanzania wanatambua ushupavu wa CCm katika kusimama nao katika shida na Raha, wanatambua kuwa CCM ndio mtetezi wao,msemaji wao,mfariji wao, Sauti yao, Nguvu yao na Tumaini lao. Watanzania wanyonge wanatambua kuwa ofisi za CCM ndio mahali pekee unapoweza kupokelewa na kero yako na ukaondoka na majibu ya matumaini wakati vyama vingine havina hata ofisi za kuwakutanisha watu

Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii kwa miaka mingi Sana sababu ya kubeba ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania, itaendeleaa kuaminika na kupigiwa kura uchaguzi Hadi uchaguzi kwa kuwa Ni chama chenye usikivu,unyenyekevu,ushupavu na umadhubuti wa kiuongozi na safu ya kiuongozi iliyokamilika na kuleta matumaini kwa watanzania wote

Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Hii kibuyu nyumbu kabisa niko Chang’ombe Dodoma hapa kama nisinge enda mjini nisingejua kama wakubwa wanakikao pale baada ya kukuta barabar imefungwa
 
Back
Top Bottom