Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Matusi yanakudhalilisha wewe unayeyatoa na siyo Mimi unayenitukanaMkiwa wa mbuzi unapikwa supu, huyu ni mavi ya mbuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matusi yanakudhalilisha wewe unayeyatoa na siyo Mimi unayenitukanaMkiwa wa mbuzi unapikwa supu, huyu ni mavi ya mbuzi
Sema sometimes mnapenda Watu wawatukane Bure tu, sasa umetukuta tumekaa kwa Amani na utulivu, tunatafakari ada za January halafu unatuletea ushuzi hapa, kenge weweMatusi hayajengi
Ila kwa hili unayapata weweMatusi yanakudhalilisha wewe unayeyatoa na siyo Mimi unayenitukana
Nasikia huko Marekani wameanzisha kanisa la shetani.Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.
Wananchi wanasubiri kwa Hamu Sana maazimio yake, Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, wananchi wanatambua kuwa utulivu ndani ya CCM ndio utulivu na usalama wa Taifa letu, Wananchi wanatambua CCM ndio chama kilicho na uchungu na watanzania, Wanatambua kuwa kesho ya Tanzania iliyo Bora IPO mikononi mwa CCM
Watanzania wanatambua ushupavu wa CCm katika kusimama nao katika shida na Raha, wanatambua kuwa CCM ndio mtetezi wao,msemaji wao,mfariji wao, Sauti yao, Nguvu yao na Tumaini lao. Watanzania wanyonge wanatambua kuwa ofisi za CCM ndio mahali pekee unapoweza kupokelewa na kero yako na ukaondoka na majibu ya matumaini wakati vyama vingine havina hata ofisi za kuwakutanisha watu
Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii kwa miaka mingi Sana sababu ya kubeba ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania, itaendeleaa kuaminika na kupigiwa kura uchaguzi Hadi uchaguzi kwa kuwa Ni chama chenye usikivu,unyenyekevu,ushupavu na umadhubuti wa kiuongozi na safu ya kiuongozi iliyokamilika na kuleta matumaini kwa watanzania wote
Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Basi endelee kutukana mpaka uchokeIla kwa hili unayapata wewe
Chama kubwaNdugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.
Wananchi wanasubiri kwa Hamu Sana maazimio yake, Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, wananchi wanatambua kuwa utulivu ndani ya CCM ndio utulivu na usalama wa Taifa letu, Wananchi wanatambua CCM ndio chama kilicho na uchungu na watanzania, Wanatambua kuwa kesho ya Tanzania iliyo Bora IPO mikononi mwa CCM
Watanzania wanatambua ushupavu wa CCm katika kusimama nao katika shida na Raha, wanatambua kuwa CCM ndio mtetezi wao,msemaji wao,mfariji wao, Sauti yao, Nguvu yao na Tumaini lao. Watanzania wanyonge wanatambua kuwa ofisi za CCM ndio mahali pekee unapoweza kupokelewa na kero yako na ukaondoka na majibu ya matumaini wakati vyama vingine havina hata ofisi za kuwakutanisha watu
Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii kwa miaka mingi Sana sababu ya kubeba ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania, itaendeleaa kuaminika na kupigiwa kura uchaguzi Hadi uchaguzi kwa kuwa Ni chama chenye usikivu,unyenyekevu,ushupavu na umadhubuti wa kiuongozi na safu ya kiuongozi iliyokamilika na kuleta matumaini kwa watanzania wote
Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Serikali ya mama Samia inatoa Elimu bure na Elimu inayotolewa Ni Elimu boraSema sometimes mnapenda Watu wawatukane Bure tu, sasa umetukuta tumekaa kwa Amani na utulivu, tunatafakari ada za January halafu unatuletea ushuzi hapa, kenge wewe
CCM ndio mahali pekee unapokuta vijana wameiva kiuongozi na wanabishana kwa hoja ,tofauti na wale wa upande wa pili yaani chadema wanatukana matusi utafikiri wamekatika mishipa yotee ya ufahamu vichwani mwao
Itisha huo mdahalo nije kuwasambaratisha kwa hojaKumsifia rais sio kubishana kwa hoja. Huwa mnabishana wapi kwa hoja, maana hata midahalo huwa hamtaki. Ni kweli maana kwa sasa kusema ukweli dhidi ya serikali ni kutukana.
Serikali ya mama Samia inatoa Elimu bure na Elimu inayotolewa Ni Elimu bora
Itisha huo mdahalo nije kuwasambaratisha kwa hoja
Andaa mdahalo ndio utajuwa hoja Ni zipiZaidi ya kwenda kumsifia mama Samia utakuwa na hoja gani kwa mfano?
Hivi mpaka leo hujagunduaga tu kama wewe ni mtumwa pale lumumba?Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.
Wananchi wanasubiri kwa Hamu Sana maazimio yake, Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, wananchi wanatambua kuwa utulivu ndani ya CCM ndio utulivu na usalama wa Taifa letu, Wananchi wanatambua CCM ndio chama kilicho na uchungu na watanzania, Wanatambua kuwa kesho ya Tanzania iliyo Bora IPO mikononi mwa CCM
Watanzania wanatambua ushupavu wa CCm katika kusimama nao katika shida na Raha, wanatambua kuwa CCM ndio mtetezi wao,msemaji wao,mfariji wao, Sauti yao, Nguvu yao na Tumaini lao. Watanzania wanyonge wanatambua kuwa ofisi za CCM ndio mahali pekee unapoweza kupokelewa na kero yako na ukaondoka na majibu ya matumaini wakati vyama vingine havina hata ofisi za kuwakutanisha watu
Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii kwa miaka mingi Sana sababu ya kubeba ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania, itaendeleaa kuaminika na kupigiwa kura uchaguzi Hadi uchaguzi kwa kuwa Ni chama chenye usikivu,unyenyekevu,ushupavu na umadhubuti wa kiuongozi na safu ya kiuongozi iliyokamilika na kuleta matumaini kwa watanzania wote
Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Nipo shambani na siyo lumumbaHivi mpaka leo hujagunduaga tu kama wewe ni mtumwa pale lumumba?
Enderea kutumikishwa kama punda POLI IPO siku utatukumbuka machizi wengi walikua na mbwembwe kuliko wewe walipokosa uteuzi wamejiweka kando umebaki pekeyako kama stroke kasitafu itakua wewe .Nipo shambani na siyo lumumba
Kwani wapi nilipozungumzia habari za uteuzi?Enderea kutumikishwa kama punda POLI IPO siku utatukumbuka machizi wengi walikua na mbwembwe kuliko wewe walipokosa uteuzi wamejiweka kando umebaki kikeyako kama stroke kasitafu itakua wewe .
Bidii Yako Nini kumbe unataka ?kama SI uteuzi umejipa kazi ya kuwatukana mitandaoni watu wasio na makosa na ukachagua kuyatetea majizi yalioitafina nchi hii miaka na miaka mpaka tunatamani mkoloni aludi japo tupumueKwani wapi nilipozungumzia habari za uteuzi?
Kama unawajitaji wakoloni nenda uwafuate huko waliko utuache sisi tukiijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyeweBidii Yako Nini kumbe unataka ?kama SI uteuzi umejipa kazi ya kuwatukana mitandaoni watu wasio na makosa na ukachagua kuyatetea majizi yalioitafina nchi hii miaka na miaka mpaka tunatamani mkoloni aludi japo tupumue
Huu ufisadi chini ya CCM SI afadhali mkoloni anaweza kua na kiasiKama unawajitaji wakoloni nenda uwafuate huko waliko utuache sisi tukiijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe
Hii kibuyu nyumbu kabisa niko Chang’ombe Dodoma hapa kama nisinge enda mjini nisingejua kama wakubwa wanakikao pale baada ya kukuta barabar imefungwaNdugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.