Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #21
Rais wetu mpendwa ndio anajuwa Nani wa kufanya Naye kazi na Nani akae katika nafasi ipi kwa hiyo usimpangie mh Rais habari za uteuzi na utenguziNdio nasoma hapa. Acha basi umbra. Watu wanakuwa bis hata hawajui hii kitu. Mmeshamtoa pm ?angalau kupotezea maboya watu jinsi mlivyo inkompitenti
Chini y uongozi wa mama Samia hakuna atakaye bakia salama ikiwa atabainika kufuja fedha za umma, kikubwa Tuendelee kumwamini mh Rais na kumpa ushirikiano,lakini pia waweza kutoa taarifa ukiona vitendo vya Rushwa katika maeneo yako ya kazi, mama Anayo dhamira ya dhati katika kuijenga nchi hii kuwa Bora na yenye maendeleo zaidi ya hapa ilipoUnaona matatizo waliyo nayo wananchi huduma za kutatanisha Rushwa kila Kona zinakufurahisha kuona Wapiga dili wanafanya mema.
Hii ni Kwa sababu ya kuchezea pesa za walipa Kodi kinyume na hapo Wala hizo vikao havingalifanyika!!!
Naona unatafuta ajira kwa uchawa wakoNdugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.
Wananchi wanasubiri kwa Hamu Sana maazimio yake, Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, wananchi wanatambua kuwa utulivu ndani ya CCM ndio utulivu na usalama wa Taifa letu, Wananchi wanatambua CCM ndio chama kilicho na uchungu na watanzania, Wanatambua kuwa kesho ya Tanzania iliyo Bora IPO mikononi mwa CCM
Watanzania wanatambua ushupavu wa CCm katika kusimama nao katika shida na Raha, wanatambua kuwa CCM ndio mtetezi wao,msemaji wao,mfariji wao, Sauti yao, Nguvu yao na Tumaini lao. Watanzania wanyonge wanatambua kuwa ofisi za CCM ndio mahali pekee unapoweza kupokelewa na kero yako na ukaondoka na majibu ya matumaini wakati vyama vingine havina hata ofisi za kuwakutanisha watu
Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii kwa miaka mingi Sana sababu ya kubeba ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania, itaendeleaa kuaminika na kupigiwa kura uchaguzi Hadi uchaguzi kwa kuwa Ni chama chenye usikivu,unyenyekevu,ushupavu na umadhubuti wa kiuongozi na safu ya kiuongozi iliyokamilika na kuleta matumaini kwa watanzania wote
Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Ajira ipi wakati ninayo Tayari ajira ya kulima kulisha Taifa langu ili usije kufa na njaa hapo ulipoNaona unatafuta ajira kwa uchawa wako
CCM MTESAJI WA WANANCHI MIAKA 60 YA SHIDA ONA BINADAMU ANAVAA MASHATI 4 KWA UMASIKINI WA CCM ona Wanafunzi nguo walizovaa sababu ya Umasikini Ona Mwananchi anavyokamuliwa KODI mpaka anakonda hivyoNdugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.
Wananchi wanasubiri kwa Hamu Sana maazimio yake, Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, wananchi wanatambua kuwa utulivu ndani ya CCM ndio utulivu na usalama wa Taifa letu, Wananchi wanatambua CCM ndio chama kilicho na uchungu na watanzania, Wanatambua kuwa kesho ya Tanzania iliyo Bora IPO mikononi mwa CCM
Watanzania wanatambua ushupavu wa CCm katika kusimama nao katika shida na Raha, wanatambua kuwa CCM ndio mtetezi wao,msemaji wao,mfariji wao, Sauti yao, Nguvu yao na Tumaini lao. Watanzania wanyonge wanatambua kuwa ofisi za CCM ndio mahali pekee unapoweza kupokelewa na kero yako na ukaondoka na majibu ya matumaini wakati vyama vingine havina hata ofisi za kuwakutanisha watu
Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii kwa miaka mingi Sana sababu ya kubeba ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania, itaendeleaa kuaminika na kupigiwa kura uchaguzi Hadi uchaguzi kwa kuwa Ni chama chenye usikivu,unyenyekevu,ushupavu na umadhubuti wa kiuongozi na safu ya kiuongozi iliyokamilika na kuleta matumaini kwa watanzania wote
Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Rais wetu mpendwa ndio anajuwa Nani wa kufanya Naye kazi na Nani akae katika nafasi ipi kwa hiyo usimpangie mh Rais habari za uteuzi na utenguzi
Kumbuka nafasi za kuteuliwa zimejaa lakini.Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.
Wananchi wanasubiri kwa Hamu Sana maazimio yake, Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, wananchi wanatambua kuwa utulivu ndani ya CCM ndio utulivu na usalama wa Taifa letu, Wananchi wanatambua CCM ndio chama kilicho na uchungu na watanzania, Wanatambua kuwa kesho ya Tanzania iliyo Bora IPO mikononi mwa CCM
Watanzania wanatambua ushupavu wa CCm katika kusimama nao katika shida na Raha, wanatambua kuwa CCM ndio mtetezi wao,msemaji wao,mfariji wao, Sauti yao, Nguvu yao na Tumaini lao. Watanzania wanyonge wanatambua kuwa ofisi za CCM ndio mahali pekee unapoweza kupokelewa na kero yako na ukaondoka na majibu ya matumaini wakati vyama vingine havina hata ofisi za kuwakutanisha watu
Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii kwa miaka mingi Sana sababu ya kubeba ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania, itaendeleaa kuaminika na kupigiwa kura uchaguzi Hadi uchaguzi kwa kuwa Ni chama chenye usikivu,unyenyekevu,ushupavu na umadhubuti wa kiuongozi na safu ya kiuongozi iliyokamilika na kuleta matumaini kwa watanzania wote
Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Taifa lipi na nchi ipi wasiolipa Kodi au tozo au ushuru? Nchi gani iliyoendelea na kupiga hatua za kimaendeleo pasipo kubeba mzigo wa uwajibikaji wake mikono mwa wananchi wake, nchi gani ambako maendeleo yake yalishushwa toka angani, nchi gani ambako umaskini ulikwisha kwa kutegemea misaada na mikopo pekee?CCM MTESAJI WA WANANCHI MIAKA 60 YA SHIDA ONA BINADAMU ANAVAA MASHATI 4 KWA UMASIKINI WA CCM ona Wanafunzi nguo walizovaa sababu ya Umasikini Ona Mwananchi anavyokamuliwa KODI mpaka anakonda hivyo View attachment 2415631View attachment 2415635View attachment 2415643
Rais wetu mpendwa mama Samia Ndio kiongozi pekee mwenye Taarifa zote za nchii hii na anapokea Taarifa za nchi hii kila Siku ya Mungu, anataarifa zote zinazohusiana na wateule wake na anawafahamu wateule wake vizuri kuliko unavyowafahamu wewe na mimiMa huu umbeammeleta hapa anajua?Hakuna wa kumpangia ndio maana mambo yakigoma mkianza story sijui anajumiwa sijui nini tunawacheka tuu.
Kwani wapi ambapo nimeandika habari za uteuzi na nafasi zilizo wazi kwa ajili ya uteuziKumbuka nafasi za kuteuliwa zimejaa lakini.
Itakuwa umejifungia kwenye hivyo vyumba vya hapo ufipa
Huyu taahira ninamblock kuanzia sasa nisisome nyuzi zake tenaChama cha Mataahira hakina think tanks
Vijana kwa Sasa wapo pamoja na CCM baada ya kutambua ulaghai na ubabaishaji wa upinzani na wapinzaniHapana, niko mtaani kama kawaida, ila mtaa kwetu hakuna wazee hivyo ni ngumu kusikia wetu wakijadili habari za hicho chama cha wazee.
Mimi nitakuwa ninazisoma zako nikiziona maana Ni lazima nifahamu mawazo ya wengine, Ndio maana chama chako Cha chadema kinazidi kudumaa na kufufua kwa kuwa hakitaki kukosolewa Wala kushaurika , lakini CCM Ni chama kinachojisahihisha na kwenda na wakati ndio sababu ya Kuendelea kuwepo madarakani Hadi leo hiiHuyu taahira ninamblock kuanzia sasa nisisome nyuzi zake tena
Got you 100%Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.
Wananchi wanasubiri kwa Hamu Sana maazimio yake, Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, wananchi wanatambua kuwa utulivu ndani ya CCM ndio utulivu na usalama wa Taifa letu, Wananchi wanatambua CCM ndio chama kilicho na uchungu na watanzania, Wanatambua kuwa kesho ya Tanzania iliyo Bora IPO mikononi mwa CCM
Watanzania wanatambua ushupavu wa CCm katika kusimama nao katika shida na Raha, wanatambua kuwa CCM ndio mtetezi wao,msemaji wao,mfariji wao, Sauti yao, Nguvu yao na Tumaini lao. Watanzania wanyonge wanatambua kuwa ofisi za CCM ndio mahali pekee unapoweza kupokelewa na kero yako na ukaondoka na majibu ya matumaini wakati vyama vingine havina hata ofisi za kuwakutanisha watu
Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii kwa miaka mingi Sana sababu ya kubeba ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania, itaendeleaa kuaminika na kupigiwa kura uchaguzi Hadi uchaguzi kwa kuwa Ni chama chenye usikivu,unyenyekevu,ushupavu na umadhubuti wa kiuongozi na safu ya kiuongozi iliyokamilika na kuleta matumaini kwa watanzania wote
Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Ndugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.
Wananchi wanasubiri kwa Hamu Sana maazimio yake, Wanafanya hivyo kwa kuwa wanatambua CCM ndio chama kiongozi,Ndio chama Tegemeo,Ndio chama chenye dira na muelekeo,Ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa hili, wananchi wanatambua kuwa utulivu ndani ya CCM ndio utulivu na usalama wa Taifa letu, Wananchi wanatambua CCM ndio chama kilicho na uchungu na watanzania, Wanatambua kuwa kesho ya Tanzania iliyo Bora IPO mikononi mwa CCM
Watanzania wanatambua ushupavu wa CCm katika kusimama nao katika shida na Raha, wanatambua kuwa CCM ndio mtetezi wao,msemaji wao,mfariji wao, Sauti yao, Nguvu yao na Tumaini lao. Watanzania wanyonge wanatambua kuwa ofisi za CCM ndio mahali pekee unapoweza kupokelewa na kero yako na ukaondoka na majibu ya matumaini wakati vyama vingine havina hata ofisi za kuwakutanisha watu
Hakika CCM itaendeleaa kuongoza nchi hii kwa miaka mingi Sana sababu ya kubeba ajenda na Sera zinazogusa maisha ya watanzania, itaendeleaa kuaminika na kupigiwa kura uchaguzi Hadi uchaguzi kwa kuwa Ni chama chenye usikivu,unyenyekevu,ushupavu na umadhubuti wa kiuongozi na safu ya kiuongozi iliyokamilika na kuleta matumaini kwa watanzania wote
Kazi iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
EhNdugu zangu Hakika CCM Ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga Tu, Vikao vyake vinavyoendelea jijini Dodoma Vimeisimamisha Nchi,Vimeteka vyombo vya Habari,Vimeteka mitandao ya kijamii, vimetawala anga yote ya kisiasa, vimetawala mijadala yote ya kisiasa mitaani, Vimefunika habari zote zisizo na mashiko, Ni CCM kila Kona, Ni CCM kila Mahali,Ni CCM kila Mtu, macho Na masikio Ni Dodoma.