Vikao vya CCM Dodoma Vyaiteka Nchi. Habari zake Zatawala kila Kona Na Kuteka vyombo vyote Vya Habari, Maazimio Yake kutetemesha Nchi

CCM ndio Tumaini la watanzania wanyonge, haya unayoyaweka hapa Ni picha tu zisizo akisi ukweli wowote ule maana watanzania tunaona namna serikali inavyohangaika kutatua kero mbalimbali
Utakuja kuchoka mwenyewe we endelea endelea kusifia
Hku umeweka # ya sim

Ova
 
Vijana kwa Sasa wapo pamoja na CCM baada ya kutambua ulaghai na ubabaishaji wa upinzani na wapinzani

Vijana wanaopenda maisha ya mteremko labda ndio wako na CCM. Na wengi wa vijana wa CCM huwa tunawaona. Wengi ni maopportunist, na ndio maana ni rahisi kuwatumia kwenye mission za kishenzi, wizi na ukatili.
 
Nonsense
 
We fala usitusumbue bhana!! sijui umetoka wapi?
Hapa Ni jukwaa huru tunapojadili mambo mbalimbali kwa Uhuru kwa kuzingatia sheria kanuni na taratibu za jukwaa Hili ili kulinda heshima ya kila mtu na utu wake hata Kama tunatofautiana kimtizamo
 
Vijana wanaopenda maisha ya mteremko labda ndio wako na CCM. Na wengi wa vijana wa CCM huwa tunawaona. Wengi ni maopportunist, na ndio maana ni rahisi kuwatumia kwenye mission za kishenzi, wizi na ukatili.
CCM ndio mahali pekee unapokuta vijana wameiva kiuongozi na wanabishana kwa hoja ,tofauti na wale wa upande wa pili yaani chadema wanatukana matusi utafikiri wamekatika mishipa yotee ya ufahamu vichwani mwao
 
Acha ncheke mie , Kwamba habari za ccm ziko moto ,😂🤣 Lucas bwana mzuka wa ccm utapata nao shida sana
 
Erythromycine, naona unawafundiaha vizuri vijana waccm kuandika bwana ,Endelea mkuu ndo watajua Chadema ina watu makini, vyama vingine Wana watu wa mchongo, Kama shujaa yule wa ndege
 
Baba yako bora angepiga puli bafuni , Fala wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…