Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wakuu, kama kama mkeo anacheza upatu, vikoba etc. Ana you asilimia kubwa sana za kuchepuka.
Kibaya zaidi hawa wake zetu wanacheza hii michezo kwa siri.
Unakuta mkeo ana mchezo wa buku kwa siku, elfu kumi kila ijumaa, ana mchezo wa elfu 10 kwa mwezi wapo 50, laki mbili kwa mwezi wapo kumi.
Ana kikoba kila week anapeleka elfu 30, mwisho wa mwezi anapeleka elfu 50, kiingilio cha kikoba 200,000, broo utagongewa tu, kibaya zaidi wanacheza kwa siri.
Hata pale anapokwama anaona nongwa kukueleza, anajikuta anashawishika huko nje. Haoni shida kuutoa mwili wake atatue shida zake (asiaibike)
Vikoba vinawapeleka puta wanawake wanahaha kutafuta pesa za marejesho, siyo waajiriwa, wafanya biashara, mama wa nyumbani.