Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Unatafuta kuambiwa huna baya, ukifa huozi, ukioza hunuki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
approach ya uboya hii, kuna mtu anavutwa apigwe hapa!View attachment 2681146
View attachment 2681147
View attachment 2681144
View attachment 2681143
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana muajiriwa na pia ni mfanya biashara
Katika biashara yangu huwa napenda sana kuiendesha kwa kuongezea vitu vya darasani, kuna hii system nataka niitumie ya kutenganisha pesa za mauzo mfano ya kwa siku, baada ya siku kadhaa, kwa wanaolipa madeni, kulingana na wateja, n.k..
Sasa nilipata wazo ninunue vikontena na vimfuko vigumu vya plastiki nikajaribu ila napata wakati mgumu kuziingiza pesa kwa mpigo
Shida kwenye hivi vikontena na vifuko nikijaribu sana inaingia milioni 2 tu, mbaya zaidi unakuta jioni kuna milioni 3 hadi 6 kwahio inakuwa changamoto kweli kweli
Ni wapi naweza kupata contena ama vifuko vigumu kwa saizi nayaotaka mimi ili pesa ikiingia iwe inabaa vizuri na kusiwe na nafasi ya ziada, makontena ya vyakula nimejaribu ila yanaacha nafasi.
Ukwapi?Niletee na mimi jaba nahitaji