Vikosi vya waasi vyakomboa miji mitatu mikubwa kutoka utawala wa Taliban

Vikosi vya waasi vyakomboa miji mitatu mikubwa kutoka utawala wa Taliban

Marekani ndo anafinance ISIS kama hujui
Hata hao mujahedeen (Taliban) yeye ndio aliwapa mafunzo na support wale wakati wanapambana kujiondoa USSR.
USA ni watu wanaohangaikia maslahi yao binfsi na sio usalama wala maendeleo ya dunia. Wawachezesha watu kama kete za draft
 
On 20th August Opposition fighters loyal to Afghanistan's ousted government retake three northern districts from the Taliban just days after the Islamist group reestablished its control over most of the country.

The Taliban swept through Afghanistan, taking most of its 34 Afghan provincial capitals in about nine days. -VOA & Reuters

Makundi mbalimbali ya waasi pamoja na kikundi cha dola ya kiislamu vimefanikiwa kuteka miji mikubwa mitatu nchini Afganistan baada ya mapambano dhidi ya vikosi vya Talibani
😆😆😆😆 Inaitwa Afghanistan the graveyard of empires.

Hakuwezi kuwa na amani huko kwa kina Rostam,the King maker 😁😁
 
😆😆😆😆 Inaitwa Afghanistan the graveyard of empires.

Hakuwezi kuwa na amani huko kwa kina Rostam,the King maker 😁😁
Latest-Makundi yenye affiliation na al-Qaeda yameshaanza kuungana na wao wanataka kuiangusha serikali ya Pakistan.Wameshaanza kwa kuanza kushambulia chinese interests ndani ya pakistan pamoja na vyombo vya usalama.
 
TTP chief Mufti Noor Wali Mehsud announced the “liberation” of the Pakistan tribal belt adjacent to the Pak-Afghan border. “Our fight is only in Pakistan and we are at war with the security forces of Pakistan. We are firmly hopeful of taking control of [the] tribal border region and creating an independent state,” he said. Mshana Jr .Pakistan na kwenyewe harakati za Jihad zimeshaanza pamba moto.

“The TTP served as al-Qaeda’s first line of defense in the region and still publicly declares its loyalty to Osama Bin Laden and his jihadist ideology. Al-Qaeda maintains influence over the TTP, as evidenced by its covert role in the TTP’s reunification process last year,” he added.
 
Back
Top Bottom