Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
ni sawa ila habari za utumwa zilishafutika hazipo tena, pili kumtukana mtume ni makosa makubwa na dhambi nzito bali wameahidiwa adhabu kali wenye kumfanyia maudhi mtume....hivyo huyo beki 3 na yeyote awaye haiwapasii wao kufanya hivyo..Okay tuwe wakweli Sasa.
Assume hii scenario:
Kuna jamaa huko Afghanistan, beki3(mtumwa) wake wa kike alikuwa anamtukana muhamad,Yule jamaa akamuonya lakin beki3 hasikii basi jamaa akakasirika akamchinja huyo beki3 kama mnyama.
Kesi ikamfikia kiongozi Kuwa jamaa kaua kwasababu hiyo.
Sasa Wewe in your humble opinion
Naomba ujibu haya maswali
1)kiongozi wa Taliban angemfanyaje huyo jmaa
2) Muhamad angemfanyaje
Chagua majibu hapa
A.angemuua B.angemfunga C. Angemsifu Sana D.Angemuacha Hana hatia
Mfano.
1.A
2.B
tatu je hukmu ya huyo mtukanaji ni kuuwawa na huyo askari au laa?! hapo angepelekwa kwa mtawala kisha yeye angemsimamishia hukmu kulingana na sheria ya uislamu na angebainishiwa makosa yake kama hao taleban wanafuata uislamu sahihi...
last but not least tumuweke mtume pembeni kwenye huu mfano..