Israel na kupewa misaada linapokuja suala la usalama wao inaweza isichukue maneno ya ushauri toka US, mfano Israel ilipokwenda kupiga kinu kule Iraq wakati wa Reagan ilikuwa in 80's, Reagan aliandika
'I believe Armageddon is near',
Israel ilichukua maamuzi pasipo kumshirikisha mfadhili wake US, kumbuka tunazungumzia usalama wa nchi ulivyo na priority kuliko chochote....
Rejea vita ya 2006 niliandika hapa
Ni jinsi gani Hezbollah iliweza kushinda vita dhidi ya Israel? (2006)
Aliyekuwa nyuma ya mchezo wote huo ni Iran, ni moja ya sababu iliyopelekea Israel kummaliza Soleiman...
Hakuna nchi duniani inaweza kukimbia consequences za economic downturn, lakini tutarudi pale pale tu kwamba usalama kwanza... Central Asia, Russia ana ushawishi mkubwa mno Uzbekistan , Tajikistan , Kirghizistanna nchi zingine wanamkubali sana Russia, walimfurumusha US na hawataki hata kumsikia, walifunga na base zake hapo Asia ya kati... kwa ushawishi tu alionao Russia... IS haiwezi survive...
Soma post yangu hii
post no #99
Russia hio vita ina maslahi makubwa sana kwake....
Huo ni mzozo wa mafuta na gas...
Nlishawahi kuandika chanzo cha hio vita na maslahi ya Russia kwenye hio vita
Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?
Piga ua, Russia itampa Assad back up mwanzo mwisho, kumtoa Assad ni kudhoofisha uchumi wa Russia kwa kuifanya Syria ipitishe mabomba ya gas toka Qatar...
Thanks....