Vikosi vya waasi vyakomboa miji mitatu mikubwa kutoka utawala wa Taliban

Hiki ni kikundi kidogo sana cha kikabila la Tajik, sasahivi kinaungwa mkono na Ashraf Ghani rais kibaraka akiekimbia Afghani.

Talbani wako vizuri, kilichobaki na DIE HARD SUPPORTERS wa mabebebru.

Tokea Talibani walipotawala 1990 - 200s Kulikuwa na kikundi kidogo kama hicho kilichoitwa Orthern Allience ambacho baadae kikiungana na Marikani kuwaondowa Taaliban, awas wasaliti na vibaraka watakuwepo
 
ISIS hawawezi kuwatoa hapo Taliban, Russia haitaki kusikia IS wapo hayo maeneo, lazima Taliban atakuwa backed up, hii ni kama 2018 Alice Wells Assistant Secretary wa US aliilaumu Russia kwa kuwapa back up Taliban dhidi ya IS kitendo kilichopelekea Taliban kuichallenge serikali iliyoko madarakani.

Russia ndio muamuzi hapo, kwa vyovyote vile ISIS hawawezi, kumbuka Russia na ISIS ni paka na panya...
 
Kabisa, hicho kinachoitwa anti Talibani nikikundi kidogo ambacho hakifikiuwezo hata wa sungusungu wa d'salaam. Walifahamika kiasi enzi za kumueka madarakani Hamid Karzai na kwa sasa ndio wamebaki kama wafuasi wa Ashraf Ghani alieiba pesa za raia wake.
 
Huko mbona hapaeleweki asee.?
Kuna kundi lingine la waasi tofauti na Taleban?
Kwa sasa hivi afganistan inatawaliwa na Taliban. Hivyo wanaepingana na Taliban ni waasi. Sawa sawa na Zambia sasa hivi chama cha Raisi aliyeshindwa ni chama cha upinzani na ndiyo mwenzao na vyama vya upinzani vya Tanzania.
 
ISIS hawawezi kuwatoa hapo Taliban, Russia haitaki kusikia IS wapo hayo maeneo, lazima Taliban atakuwa backed up, hii ni kama 2018 Alice Wells Assistant Secretary wa US aliilaumu Russia kwa kuwapa back up Taliban dhidi ya IS kitendo kilichopelekea Taliban kuichallenge serikali iliyoko madarakani.

Russia ndio muamuzi hapo, kwa vyovyote vile ISIS hawawezi, kumbuka Russia na ISIS ni paka na panya...
Changamoto ya Russia kubwa ni financial resources,uchumi wake umeporomoka sana-hana capacity kubwa ya kupambana na makundi tofauti tofauti kwenye nchi mbalimbali kwa wakati mmoja kama US.
 
Taliban walishamaliza vita.....hizi mpya unazozisikia ni vita za kwenye media," 2001 ulikuwa na umri gani?
Vita vinapigwa alafu unasema media? 🤣 🤣 🤣 Umenikumbusha waziri wa habari wa IRAQ kipindi walipovamiwa na US 🤣🤣🤣
 
Hii dini ngumu Sana , na kimsingi waislamu tunaishi nao kinafik tuu Ila washikaji Wana roho moja miyeyusho kichizi ..!! Huwa wanatamani wawe wao tuu sema ndo hvyo
Hawa akina "abuu marik' hawafai kabisa
 
Changamoto ya Russia kubwa ni financial resources,uchumi wake umeporomoka sana-hana capacity kubwa ya kupambana na makundi tofauti tofauti kwenye nchi mbalimbali kwa wakati mmoja kama US.
Financial Resources zipi?
Mkuu Russia unaichukuliaje? yaani waruhusu kuhatarisha usalama wao kwa kisa uchumi umeporomoka?
Israel ina uchumi gani kpambana na maadui miaka yote hio?
Iran ina uchumi gani kufadhili vikundi pale middle east kwa silaha na mafunzo na wapo kwenye vikwazo zaidi ya miaka 40?
Russia ndio exporter mkubwa wa gas ulaya yote hio...
Kasome uelewe mkuu...
Acha kunichekesha mkuu.....
 
Mkuu-Kuna uelewa wa mambo mengi sana unakosa,at least to be fair.
1-Israel ni recipient mkubwa wa financial aid and military assistance from US.
2.Tofautisha kufadhili na kupambana- Iran Quds frorce & their proxies kila siku wanatandikwa hapo syria na Israel military-Na hawajaweza fanya retaliation yoyote ambayo ni significant.
3.Russia uchumi wake upo constrained na US & EU sanctions na uchumi wake kwa sehemu kubwa unategemea Mafuta na gesi ambayo hata US inauza-Na kwa miaka hii ya karibuni bei ya mafuta imekuwa ikiporomoka sana kwenye soko la dunia hvyo pia kuathiri uchumi wake.
4.Wapi Russia alifanikiwa kuwaondoa ISIS mwenyewe,where? Hapo Syria tu kuna majeshi ya US,Turkey,SDF,Iran,Russia,Syria and etc yanapambana kuwaondoa na bado hawajafanikiwa.
5.Vita ya Syria imeigharibu Russia fedha nyingi that's why Russia anataka kufanyike mazungumzo ya kumaliza mzozo ili aweze kupunguza involvement yake.
 
Vita vinapigwa alafu unasema media? 🤣 🤣 🤣 Umenikumbusha waziri wa habari wa IRAQ kipindi walipovamiwa na US 🤣🤣🤣
Utasubir sanaa vita imeisha na sasa ni amani na mahaba tu taliban wamelika gavana wa mini zaidi ya ishirini pamoja na ndugu yake ahmad shah Masood kwa namna ya kuunda serekeli mpya
 
1-Israel ni recipient mkubwa wa financial aid and military assistance from US.
Israel na kupewa misaada linapokuja suala la usalama wao inaweza isichukue maneno ya ushauri toka US, mfano Israel ilipokwenda kupiga kinu kule Iraq wakati wa Reagan ilikuwa in 80's, Reagan aliandika 'I believe Armageddon is near',
Israel ilichukua maamuzi pasipo kumshirikisha mfadhili wake US, kumbuka tunazungumzia usalama wa nchi ulivyo na priority kuliko chochote....

2.Tofautisha kufadhili na kupambana- Iran Quds frorce & their proxies kila siku wanatandikwa hapo syria na Israel military-Na hawajaweza fanya retaliation yoyote ambayo ni significant.
Rejea vita ya 2006 niliandika hapa Ni jinsi gani Hezbollah iliweza kushinda vita dhidi ya Israel? (2006)
Aliyekuwa nyuma ya mchezo wote huo ni Iran, ni moja ya sababu iliyopelekea Israel kummaliza Soleiman...
3.Russia uchumi wake upo constrained na US & EU sanctions na uchumi wake kwa sehemu kubwa unategemea Mafuta na gesi ambayo hata US inauza-Na kwa miaka hii ya karibuni bei ya mafuta imekuwa ikiporomoka sana kwenye soko la dunia hvyo pia kuathiri uchumi wake.
Hakuna nchi duniani inaweza kukimbia consequences za economic downturn, lakini tutarudi pale pale tu kwamba usalama kwanza... Central Asia, Russia ana ushawishi mkubwa mno Uzbekistan , Tajikistan , Kirghizistanna nchi zingine wanamkubali sana Russia, walimfurumusha US na hawataki hata kumsikia, walifunga na base zake hapo Asia ya kati... kwa ushawishi tu alionao Russia... IS haiwezi survive...
4.Wapi Russia alifanikiwa kuwaondoa ISIS mwenyewe,where? Hapo Syria tu kuna majeshi ya US,Turkey,SDF,Iran,Russia,Syria and etc yanapambana kuwaondoa na bado hawajafanikiwa.
Soma post yangu hii post no #99

5.Vita ya Syria imeigharibu Russia fedha nyingi that's why Russia anataka kufanyike mazungumzo ya kumaliza mzozo ili aweze kupunguza involvement yake.
Russia hio vita ina maslahi makubwa sana kwake....
Huo ni mzozo wa mafuta na gas...
Nlishawahi kuandika chanzo cha hio vita na maslahi ya Russia kwenye hio vita Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

Piga ua, Russia itampa Assad back up mwanzo mwisho, kumtoa Assad ni kudhoofisha uchumi wa Russia kwa kuifanya Syria ipitishe mabomba ya gas toka Qatar...

Thanks....
 
Hiki ni kikundi kidogo sana cha kikabila la Tajik, sasahivi kinaungwa mkono na Ashraf Ghani rais kibaraka akiekimbia Afghani.

Talbani wako vizuri, kilichobaki na DIE HARD SUPPORTERS wa mabebebru.

Tokea Talibani walipotawala 1990 - 200s Kulikuwa na kikundi kidogo kama hicho kilichoitwa Orthern Allience ambacho baadae kikiungana na Marikani kuwaondowa Taaliban, awas wasaliti na vibaraka watakuwepo
bro kasome tena hilo jimbo linaitwa PANJSHIR unambiawa hata warusi walipo vamia miaka ya 1970s hawakuwahi kuwa chini yao hao ndio future ya Afgnastan.
 
Hayo magaidi yameanza kuuana wao kwa wao hii dini inaharibu watu wa Mungu.
 
Back
Top Bottom