Mi nilidhani ni taliban na serikali ndo vina mvutano, yaani kuna ISIS tena. Kumbe ndio maana watu walikua wanaikimbia nchi yao walijua tu kitanuka.
Sada hao ISIS na taliban si wote waislam au wametofautiana kipi tena.
Na mataifa makubwa yanaitumia hiyo nchi kwenye mambo yao, china kwenye taarifa zao wanapasifu sana na kujaribu kuisafisha taliban kwa dunia. Na marekan na washirika wake ni kinyume wao wanaichafua na kuonesha hakuna amani, na hii habari lazma umeitoa huko kwa wana USA. Mchina na mmarekani wanafki sana aisee.