Vikosi vya waasi vyakomboa miji mitatu mikubwa kutoka utawala wa Taliban

Vikosi vya waasi vyakomboa miji mitatu mikubwa kutoka utawala wa Taliban

"Afghanistan's local media also reports that the Taliban have lost control of the Pol-e-Hesar district in the northern Baglan province after an armed conflict on Friday. According to Khaama Press, the districts of Deh Salah and Qasaan in Baglan, along with Pol-e-Hesar, have been recaptured by the rebel forces. Citing local residents, the reports claim that nearly 40 Taliban militants were killed and at least 15 injured." Mshana Jr
 
Taliban bado hawajatoa baiyah kwa Isis, na hata walipovamia magereza na kuwatoa wafungwa wote wa Isis waliachwa ndani na kuambiwa subirini mupelekwe mahakamani, hao waasi walioteka hizo wilaya 3 ni katika makundi ya makamo wa rais ahmad masoud aliyekimbilia panjshir, Isis ni mziki mwengine nd soon wataanza harakati zao hapo khorosan
Mrusi ndie kiboko ya ISIS.Mmarekani alikuwa akimpiga ISIS kizenji yaani kumpiga adui huku unafata haki za binadamu,nani kakwambia shetani anataka haki.
Putin akasema Mimi Kazi yangu kuu ni kuwaondoa wahuni duniani na kuwawahisha kuzimu wakawahi mabikira, unataka bikira duniani unafanya nn,akatoa ndege zenye marubani wanawake zinapiga target ya mbali dar inapiga target ya dodoma.
Ni haramu kwa gaidi kuuliwa na mwanamke kwa fikra zao wanaogopa watazikosa bikira.Aliwapukutisha ISIS wote.
 
Wataleban wenyewe wanasema hivi"hawatoweka silaha chini watapigana mpaka kiama"hapo sasa inamaana wasipowekewa waasi wenzao wa kupigana nao ndani ya nchi basi watavuka mipaka kwenye nchi zingine za mbali au jirani ilimradi tu azma yao ya kupigana mpaka kiama iendelee.
 
Wataleban wenyewe wanasema hivi"hawatoweka silaha chini watapigana mpaka kiama"hapo sasa inamaana wasipowekewa waasi wenzao wa kupigana nao ndani ya nchi basi watavuka mipaka kwenye nchi zingine za mbali au jirani ilimradi tu azma yao ya kupigana mpaka kiama iendelee.
Ni kuwaundia waasi.Inatakiwa warejeshwe kuzimu walipotoka
 
Marekani anawahofia sana ISIS kuliko mataliban,Hawa ISIS ndo walimuua kiongozi wa boko haramu-wana siasa kali mno,wakiachwa wanaweza kuwang'oa taliban
Marekani atawasponsor Taliban waipige ISIS halafu wakimalizana na ISIS waendelee kipigana na marekani
 
Hakuna kundi lolote la kigaidi linalopigania dini bali ujificha kwenye mwamvuli wa dini Ili kuwapata wapiganaji maana katika dini ni rahisi Sana kuwapata masikini wa kuwabrainwash na kuwapandikiza uongo uutakao.
Malengo makuu ya makundi ya kigaidi ni kumiliki dola Ili kupata maslai ya kidunia.
Wenye kujua malengo ya kundi ni top leaders na sio wapiganaji,top leaders uishi maisha ya kianasa ikiwemo nyumba za kifahari,uzinzi,ulevi,nk.Vyanzo vya
Pesa za kuendeshea makundi haya utokana na biashara haramu mfano biashara ya bangi,mirungi,unga,nk biashara haramu ya kuuza viungo vya watu,utekaji meli,nk. harakati za vikundi hivi uhusisha pia ushirikina.
Je kuna dini inaruhusu mambo machafu?
 
On 20th August Opposition fighters loyal to Afghanistan's ousted government retake three northern districts from the Taliban just days after the Islamist group reestablished its control over most of the country.

The Taliban swept through Afghanistan, taking most of its 34 Afghan provincial capitals in about nine days. -VOA & Reuters

Makundi mbalimbali ya waasi pamoja na kikundi cha dola ya kiislamu vimefanikiwa kuteka miji mikubwa mitatu nchini Afganistan baada ya mapambano dhidi ya vikosi vya Talibani
Maskini wee wameshafitinishwa
 
Hizi media za magharibi zimeanza rasmi vita ya propaganda....muwapuuzie.

Wameondoka Afghanistan kwa aibu kubwa huku dunia ikishuhudia....kuficha aibu yao wanaanza kuipaka matope Taliban

Hivi inaingia akilini watalibani wamchape mzungu mwenye kila aina ya silaha wamshindwe huyu ISIS ambaye kiuhalisia hayupo?.
 
ISIS Sunni Taliban Shia
siyo kweli students (taliban) ni shia ...hayo makundi yote mawili (taliban & isis) ni sunni utofauti wa hayo wao upo kwenye interests

interests za isis ni tofauti kbs na za taliban ndio maana hawawivi chungu kimoja na taliban ingawa wote ni sunni ....wataliban wanataka mipaka ya afghanistan iwe chini ya sharia na mambo mengine ambayo ni tofauti na isis...hawa isis mpango wao ni dunia nzima ifuate sharia ndio maana unaona wapo west africa,libya,drc,mozambique,arab countries n.k hawa wanataka dunia nzima iwe uislamu ....hawa majamaa ni makatili sana sana kuliko hao taliban

wapiganaji wa taliban ni waafghani wenyewe wakati wapiganaji wa isis wanatoka pande mbalimbali za dunia
 
Hizi media za magharibi zimeanza rasmi vita ya propaganda....muwapuuzie.

Wameondoka Afghanistan kwa aibu kubwa huku dunia ikishuhudia....kuficha aibu yao wanaanza kuipaka matope Taliban

Hivi inaingia akilini watalibani wamchape mzungu mwenye kila aina ya silaha wamshindwe huyu ISIS ambaye kiuhalisia hayupo?.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo hakuna vita ni propaganda za wazungu.!??? unafurahisha kweli
 
Huku raia wengi hawako Tayari kutawaliwa na Kundi hilo katiri japo limeonesha wema kwa maneno na habari za ndani baadhi ya maeneo yaliyochukuliwa na Taliban wanajeshi wao hawaitii amri ya viongozi wao na wamebaki na misimamo yao ya asili hadi imefikia Marekani kutoa tahadhari kwa raia wake wanaondoka watulia maeneo walipo hadi njia zingine zichukuliwe maana wanajeshi wasiotii amri ya kuruhusu Wamarekani waondoke linawazuia njiani ikiwemo kuwapiga na mateso makubwa.. Biden ana kazi

======
While the Panjshir Valley is emerging as Afghanistan's last remaining holdout where anti-Taliban forces seem to be working on forming a guerrilla movement to take on the Islamic fundamentalist group, Pul-e-Hesar, Deh Salah and Banu districts in Baghlan have claimed to have recaptured their land from the Taliban.

Local residents claim that Pul-e-Hesar, Deh Salah and Qasaan districts have also been recaptured from the Taliban, Afghanistan's Khaama Press said on Friday.

Taking to Twitter, former acting minister of defence Bismillah Muhammadi said, "Resisting the Taliban terrorists is our duty # Pul-e-Hesar, Deh Salah and Banu districts in Baghlan have been occupied by the resistance forces. Resistance is still alive."

Afghan Taliban fighters

Afghan Taliban fighters stand guard in Kabul, capital of Afghanistan, Aug. 16, 2021. (Str/Xinhua/IANS)Str/Xinhua/IANS

Local residents claim to have killed nearly 40 Talibani terrorists and wounded at least 15. However, the Taliban have not commented on the incident yet. The Taliban claimed to have been in talks with the local Afghan leaders in an attempt to form the government and fill the power vacuum.

Panjshir Resistance​

Meanwhile, a Taliban resistance is forming in Panjshir Valley under the leadership of Vice President Amrullah Saleh and Ahmad Massoud, the son of a famed anti-Taliban fighter, said Russian Foreign Minister Sergei Lavrov.

"The Taliban doesn't control the whole territory of Afghanistan," Lavrov told reporters at a press conference in Moscow following a meeting with his Libyan counterpart. "There are reports of the situation in the Panjshir Valley where the resistance of Afghanistan's Vice President Saleh and Ahmad Massoud is concentrated," he said, TRT World reported.

The Panjshir Valley in the northeast of Kabul is known for its natural defences. The region, located 150 km northeast of Kabul, now hosts some senior members of the ousted Afghanistan government, including the deposed Saleh and ex-Defence Minister Bismillah Mohammadi, DW reported.

Saleh as Caretake President​

Saleh has declared himself the caretaker President of Afghanistan after ousted President Ashraf Ghani fled the country.

"I will never, ever and under no circumstances bow to the Taliban terrorists. I will never betray the soul and legacy of my hero Ahmad Shah Masoud, the commander, the legend and the guide," Saleh wrote on Twitter.

From this pocket of resistance, the two men are calling for retaliation against the Taliban.

The Panjshir Valley has repeatedly played a decisive role in Afghanistan's military history, as its geographical position almost completely cuts it off from the rest of the country. The only access point to the region is through a narrow passage created by the Panjshir River, which can be easily defended militarily.

Massoud's militia​

Famed for its natural defences, the region tucked into the Hindu Kush mountains never fell to the Taliban during the civil war of the 1990s, nor was it conquered by the Soviets a decade earlier. It is now Afghanistan's last remaining holdout, DW reported.

Afghan refugees

People are seen at a displaced person camp in Mazar-i-Sharif, capital of northern Balkh province, Afghanistan, on July 22, 2021. (Photo by Kawa Basharat/Xinhua/IANS)IANS

Most of the valley's up to 150,000 inhabitants belong to the Tajik ethnic group, while the majority of the Taliban are Pashtuns. The valley is also known for its emeralds, which were used in the past to finance the resistance movements against those in power.

Now, the son of Ahmad Shah Massoud, Ahmad Massoud, who closely resembles his father in appearance, commands a militia in the valley.
 
Hiyo nchi haitakalika najua hapa USA itawapa hao wanaopigana na Taliban zana za vita, hafu Russia nao watawapa Taliban zana, China atabaki neutral kwasasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo hakuna vita ni propaganda za wazungu.!??? unafurahisha kweli
Taliban walishamaliza vita.....hizi mpya unazozisikia ni vita za kwenye media," 2001 ulikuwa na umri gani?
 
Back
Top Bottom