Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania ikiwa operesheni ya Rafah itaanzishwa na Israel

Yemen na umasikini wake, ok
Yemeni sio maskini ila ni vile haijatulia kujenga uchumi wake.
Jeshi lao lina fedha za kuendesha operation yeyote ile.
Hivi unajua licha ya Yemeni kuwa katika migogoro ya vita uchumi wake haupishani sana na Tanzania!?
 
Hao wakaa mapangoni na vilemba na kobazi zao ndiyo amsumbue Marekani!
Keshawahi kumshinda,au wewe ni brainwashed hufuatilii matukio!?
-Mapigano ya kuanzia 2014 ya kumuondoa Mansour aliyefadhili kumbakisha Mansour ni USA na Saudi arabia ila wakashindwa mbele ya Houthi.
-Red sea mpaka leo US navy kashindwa kuwazuia Houthi kushambulia na kuteka meli.

Au kwa akili zako red sea panapitika!?
 
Eti hamna wa kumshinda yemeni😁😁😁 stor za madrasa,
Tizama taarifa ya habari kijana.
France na Uingereza waliondoa Fleet zao red sea baada ya kuzidiwa mashambulizi ya drone na makombora na Houthi.
US mwenyewe mpaka leo hajasogea baab al mandib kaishia Djibout tu na mpaka sasa baab al mandib haipiti meli inayoelekea Israel wala meli za USA haziruhusiwi kupita na hazipiti.
We kaa tu na kushikilia msemo wa story za madrasa.
 
Ngoja wanogewe, watakuja kulia, muarabu hajawahi kuwa na akili za kumzidi mzungu na muyahudi. Dawa yao inachemka watagandishwa kama walivyofanywa wajapani kwenye vita ya Pili ya dunia
Upo sahihi sana
 
Wanakumbi

⚡️⭕️🔻#YEMEN : Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania mara moja na kuidhinisha usafirishaji wa kampuni zote ambazo zina uhusiano na #Israel ikiwa operesheni ya Rafah itaanzishwa :

Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Yemen:

Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vinaendelea kufuatilia maendeleo ya vita katika Ukanda wa Gaza huku kukiwa na uchokozi unaoendelea wa "Israel" na Marekani na maandalizi ya kutekeleza operesheni ya kijeshi inayolenga eneo la Rafah. Pia tunafuatilia pendekezo lililowasilishwa kwa upinzani, ambapo adui anatafuta kutoa suala la mateka bila usitishaji wa kudumu wa mapigano.

Kwa hivyo, na kwa mujibu wa maagizo ya kiongozi wetu, Sayyid Abdul-Malik Badreddine Al-Houthi, Mwenyezi Mungu amhifadhi, katika kuunga mkono haki ya watu wa Palestina na kuitikia wito wa muqawama madhulumu wa Palestina, na usoni. ya ukaidi wa adui wa "Israel" na Marekani, Jeshi la Yemen, kwa msaada wa Mwenyezi Mungu, linatangaza mwanzo wa hatua ya nne ya kuongezeka kama ifuatavyo:

Kwanza: Kulenga meli zote zinazokiuka kizuizi cha baharini cha "Israeli" kuelekea bandari za Palestina zinazokaliwa kwa Bahari ya Mediterania katika eneo lolote tunaloweza kufikia.

Pili: Utekelezaji wa hili unaanza tangu wakati wa kutangazwa kwa taarifa hii.

Tatu: Iwapo adui wa "Israel" ataamua kuanzisha operesheni kali ya kijeshi huko Rafah, Jeshi la Yemen litaweka vikwazo vya kina kwa meli zote za kampuni zinazohusika na usambazaji na kuingia kwenye bandari za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu za utaifa wowote. kuzuia meli zote za makampuni haya kupita katika eneo la shughuli za kijeshi bila kujali marudio yao.

Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen, kwa msaada wa Mwenyezi Mungu, na kutegemea uungaji mkono wa watu wakubwa wa Yemeni na watu wote walio huru wa taifa, hawatasita kujiandaa na kuwa tayari kwa hatua pana na zenye nguvu zaidi za kupanuka hadi uvamizi huo utakapokomeshwa na mzingiro unaondolewa dhidi ya watu wanaodhulumiwa wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.

View: https://x.com/me_observer_/status/1786393689561956575?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

yeah uko sa
Nyie ndio wale wajinga mnamuamini sana mmarekani na muingereza hata akiwambia kuleni sembe ilio oza ni vitamini K mnamini 😄
kama nyie mlivyoaminishwa tende na nyama/maziwa ya ngamia? tupige vita utumwa ni mbaya aisee.Yaani kila kilicho cha mwarabu ni bora kuliko cha kwenu umatumbini!.
 
Yemeni sio maskini ila ni vile haijatulia kujenga uchumi wake.
Jeshi lao lina fedha za kuendesha operation yeyote ile.
Hivi unajua licha ya Yemeni kuwa katika migogoro ya vita uchumi wake haupishani sana na Tanzania!?
duu kwa hiyo yemeni ni saizi yetu sio?
 
duu kwa hiyo yemeni ni saizi yetu sio?
Tanzania ina uchumi ulioizidi Yemeni.
Maana Yemeni kiuchumi ni nchi ya 11 kwa umaskini duniani ila GDP yake hatujaiacha mbali sana tumeiacha kidogo tu.
 
yeah uko sa

kama nyie mlivyoaminishwa tende na nyama/maziwa ya ngamia? tupige vita utumwa ni mbaya aisee.Yaani kila kilicho cha mwarabu ni bora kuliko cha kwenu umatumbini!.
Unaandika uharo mtupu ueleweki.
 
Mediterania wanaenda kufanya nini washenzi hao? Huo utakuwa ni uchokozi na hawatavumiliwa itabidi wafurushwe huko
 
😀😀 si mlisema taifa masikini.
 
yeah uko sa

kama nyie mlivyoaminishwa tende na nyama/maziwa ya ngamia? tupige vita utumwa ni mbaya aisee.Yaani kila kilicho cha mwarabu ni bora kuliko cha kwenu umatumbini!.
Warabu ndio wameleta ustarabu dogo we bila.mwarabu usingejuwa maji yanatumika kusafisha sehemu zako za siri ungebaki unatumia clenex 😄
 
Mediterania wanaenda kufanya nini washenzi hao? Huo utakuwa ni uchokozi na hawatavumiliwa itabidi wafurushwe huko
😂😂😂😂😂😂Mkuu mbona unang'aka tena!?
Kwani Israel anafanya nini Rafah?
USA anafanya nini middle east?
Mediterranean ni ya middle east wacha watambe kama wanavyotamba Red sea.
Iran mwezi huu kwa mara kwanza ameanza operation za international waters mediterranean na wamemruhusu.
 
Wanakumbi

⚡️⭕️🔻#YEMEN : Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania mara moja na kuidhinisha usafirishaji wa kampuni zote ambazo zina uhusiano na #Israel ikiwa operesheni ya Rafah itaanzishwa :

Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Yemen:

Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vinaendelea kufuatilia maendeleo ya vita katika Ukanda wa Gaza huku kukiwa na uchokozi unaoendelea wa "Israel" na Marekani na maandalizi ya kutekeleza operesheni ya kijeshi inayolenga eneo la Rafah. Pia tunafuatilia pendekezo lililowasilishwa kwa upinzani, ambapo adui anatafuta kutoa suala la mateka bila usitishaji wa kudumu wa mapigano.

Kwa hivyo, na kwa mujibu wa maagizo ya kiongozi wetu, Sayyid Abdul-Malik Badreddine Al-Houthi, Mwenyezi Mungu amhifadhi, katika kuunga mkono haki ya watu wa Palestina na kuitikia wito wa muqawama madhulumu wa Palestina, na usoni. ya ukaidi wa adui wa "Israel" na Marekani, Jeshi la Yemen, kwa msaada wa Mwenyezi Mungu, linatangaza mwanzo wa hatua ya nne ya kuongezeka kama ifuatavyo:

Kwanza: Kulenga meli zote zinazokiuka kizuizi cha baharini cha "Israeli" kuelekea bandari za Palestina zinazokaliwa kwa Bahari ya Mediterania katika eneo lolote tunaloweza kufikia.

Pili: Utekelezaji wa hili unaanza tangu wakati wa kutangazwa kwa taarifa hii.

Tatu: Iwapo adui wa "Israel" ataamua kuanzisha operesheni kali ya kijeshi huko Rafah, Jeshi la Yemen litaweka vikwazo vya kina kwa meli zote za kampuni zinazohusika na usambazaji na kuingia kwenye bandari za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu za utaifa wowote. kuzuia meli zote za makampuni haya kupita katika eneo la shughuli za kijeshi bila kujali marudio yao.

Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen, kwa msaada wa Mwenyezi Mungu, na kutegemea uungaji mkono wa watu wakubwa wa Yemeni na watu wote walio huru wa taifa, hawatasita kujiandaa na kuwa tayari kwa hatua pana na zenye nguvu zaidi za kupanuka hadi uvamizi huo utakapokomeshwa na mzingiro unaondolewa dhidi ya watu wanaodhulumiwa wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.

View: https://x.com/me_observer_/status/1786393689561956575?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Nchi masikini na isiyokuwa na mipango ya kimaendeleo kama ilivyo kwa Tanzania ya CCM
 
Nyie ndio wale wajinga mnamuamini sana mmarekani na muingereza hata akiwambia kuleni sembe ilio oza ni vitamini K mnamini 😄
Kweli kwa akili yako kabisa , unaamini wanamgambo wa Yemen na silaha zao dhaifu ndo washinde jeshi la Israel, USA, UK? Mlianza hivo hivi kuwa Hamas watamnyosha mtahudi, mara Israel akiingia Gaza Iran anaingilia vita, mara hezibollar wataingia Gaza. Leo yako wapi? Wapalestina wamepoteza maisha yao huko viongozi wa hamas wako Qatar wanakula maisha.
 
Back
Top Bottom