Amna meli kule kwa sasa labda wakuzuie ww na kwa sasa wanazifuata India onceanSiwasikii Houthi siku hizi Maalim.Mbona hawazuii meli tena? Au Israel kaa ha kuwachapa wapalestina?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amna meli kule kwa sasa labda wakuzuie ww na kwa sasa wanazifuata India onceanSiwasikii Houthi siku hizi Maalim.Mbona hawazuii meli tena? Au Israel kaa ha kuwachapa wapalestina?
We huoni natembea na mavi wakati nipo kanisani nimepiga tie na suti 😄Maislamu ya humu JF hayanaga akili.Ona hili!
Yemeni sio maskini ila ni vile haijatulia kujenga uchumi wake.Yemen na umasikini wake, ok
Keshawahi kumshinda,au wewe ni brainwashed hufuatilii matukio!?Hao wakaa mapangoni na vilemba na kobazi zao ndiyo amsumbue Marekani!
Tizama taarifa ya habari kijana.Eti hamna wa kumshinda yemeni😁😁😁 stor za madrasa,
Bandari ya Eilat kwani inafanya kazi!?Siwasikii Houthi siku hizi Maalim.Mbona hawazuii meli tena? Au Israel kaa ha kuwachapa wapalestina?
Upo sahihi sanaNgoja wanogewe, watakuja kulia, muarabu hajawahi kuwa na akili za kumzidi mzungu na muyahudi. Dawa yao inachemka watagandishwa kama walivyofanywa wajapani kwenye vita ya Pili ya dunia
Wanakumbi
⚡️⭕️🔻#YEMEN : Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania mara moja na kuidhinisha usafirishaji wa kampuni zote ambazo zina uhusiano na #Israel ikiwa operesheni ya Rafah itaanzishwa :
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Yemen:
Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vinaendelea kufuatilia maendeleo ya vita katika Ukanda wa Gaza huku kukiwa na uchokozi unaoendelea wa "Israel" na Marekani na maandalizi ya kutekeleza operesheni ya kijeshi inayolenga eneo la Rafah. Pia tunafuatilia pendekezo lililowasilishwa kwa upinzani, ambapo adui anatafuta kutoa suala la mateka bila usitishaji wa kudumu wa mapigano.
Kwa hivyo, na kwa mujibu wa maagizo ya kiongozi wetu, Sayyid Abdul-Malik Badreddine Al-Houthi, Mwenyezi Mungu amhifadhi, katika kuunga mkono haki ya watu wa Palestina na kuitikia wito wa muqawama madhulumu wa Palestina, na usoni. ya ukaidi wa adui wa "Israel" na Marekani, Jeshi la Yemen, kwa msaada wa Mwenyezi Mungu, linatangaza mwanzo wa hatua ya nne ya kuongezeka kama ifuatavyo:
Kwanza: Kulenga meli zote zinazokiuka kizuizi cha baharini cha "Israeli" kuelekea bandari za Palestina zinazokaliwa kwa Bahari ya Mediterania katika eneo lolote tunaloweza kufikia.
Pili: Utekelezaji wa hili unaanza tangu wakati wa kutangazwa kwa taarifa hii.
Tatu: Iwapo adui wa "Israel" ataamua kuanzisha operesheni kali ya kijeshi huko Rafah, Jeshi la Yemen litaweka vikwazo vya kina kwa meli zote za kampuni zinazohusika na usambazaji na kuingia kwenye bandari za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu za utaifa wowote. kuzuia meli zote za makampuni haya kupita katika eneo la shughuli za kijeshi bila kujali marudio yao.
Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen, kwa msaada wa Mwenyezi Mungu, na kutegemea uungaji mkono wa watu wakubwa wa Yemeni na watu wote walio huru wa taifa, hawatasita kujiandaa na kuwa tayari kwa hatua pana na zenye nguvu zaidi za kupanuka hadi uvamizi huo utakapokomeshwa na mzingiro unaondolewa dhidi ya watu wanaodhulumiwa wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
View: https://x.com/me_observer_/status/1786393689561956575?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
kama nyie mlivyoaminishwa tende na nyama/maziwa ya ngamia? tupige vita utumwa ni mbaya aisee.Yaani kila kilicho cha mwarabu ni bora kuliko cha kwenu umatumbini!.Nyie ndio wale wajinga mnamuamini sana mmarekani na muingereza hata akiwambia kuleni sembe ilio oza ni vitamini K mnamini 😄
duu kwa hiyo yemeni ni saizi yetu sio?Yemeni sio maskini ila ni vile haijatulia kujenga uchumi wake.
Jeshi lao lina fedha za kuendesha operation yeyote ile.
Hivi unajua licha ya Yemeni kuwa katika migogoro ya vita uchumi wake haupishani sana na Tanzania!?
Tanzania ina uchumi ulioizidi Yemeni.duu kwa hiyo yemeni ni saizi yetu sio?
wasifikiri watavumiliwa wakija indian ocean,Amna meli kule kwa sasa labda wakuzuie ww na kwa sasa wanazifuata India oncean
Warabu ndio wameleta ustarabu dogo we bila.mwarabu usingejuwa maji yanatumika kusafisha sehemu zako za siri ungebaki unatumia clenex 😄yeah uko sa
kama nyie mlivyoaminishwa tende na nyama/maziwa ya ngamia? tupige vita utumwa ni mbaya aisee.Yaani kila kilicho cha mwarabu ni bora kuliko cha kwenu umatumbini!.
😂😂😂😂😂😂Mkuu mbona unang'aka tena!?Mediterania wanaenda kufanya nini washenzi hao? Huo utakuwa ni uchokozi na hawatavumiliwa itabidi wafurushwe huko
Nadhani hawajui hata bahari ya Mediterranean Iko wapi, kwa uwezo mdogo wa Yemen ndio aweze kupanua operation zake Hadi Mediterranean kweli ?Tatizo hawajamaa vichwani ni weupe sana,
Kobazi wa Nkasi hawajui Yemeni na Burundi hawana tofauti kwa umaskiniNadhani hawajui hata bahari yak Mediterranean Iko wapi, kwa uwezo mdogo wa Yemen ndio aweze kupanua operation zake Hadi Mediterranean kweli ?
Wanakumbi
⚡️⭕️🔻#YEMEN : Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania mara moja na kuidhinisha usafirishaji wa kampuni zote ambazo zina uhusiano na #Israel ikiwa operesheni ya Rafah itaanzishwa :
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Yemen:
Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vinaendelea kufuatilia maendeleo ya vita katika Ukanda wa Gaza huku kukiwa na uchokozi unaoendelea wa "Israel" na Marekani na maandalizi ya kutekeleza operesheni ya kijeshi inayolenga eneo la Rafah. Pia tunafuatilia pendekezo lililowasilishwa kwa upinzani, ambapo adui anatafuta kutoa suala la mateka bila usitishaji wa kudumu wa mapigano.
Kwa hivyo, na kwa mujibu wa maagizo ya kiongozi wetu, Sayyid Abdul-Malik Badreddine Al-Houthi, Mwenyezi Mungu amhifadhi, katika kuunga mkono haki ya watu wa Palestina na kuitikia wito wa muqawama madhulumu wa Palestina, na usoni. ya ukaidi wa adui wa "Israel" na Marekani, Jeshi la Yemen, kwa msaada wa Mwenyezi Mungu, linatangaza mwanzo wa hatua ya nne ya kuongezeka kama ifuatavyo:
Kwanza: Kulenga meli zote zinazokiuka kizuizi cha baharini cha "Israeli" kuelekea bandari za Palestina zinazokaliwa kwa Bahari ya Mediterania katika eneo lolote tunaloweza kufikia.
Pili: Utekelezaji wa hili unaanza tangu wakati wa kutangazwa kwa taarifa hii.
Tatu: Iwapo adui wa "Israel" ataamua kuanzisha operesheni kali ya kijeshi huko Rafah, Jeshi la Yemen litaweka vikwazo vya kina kwa meli zote za kampuni zinazohusika na usambazaji na kuingia kwenye bandari za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu za utaifa wowote. kuzuia meli zote za makampuni haya kupita katika eneo la shughuli za kijeshi bila kujali marudio yao.
Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen, kwa msaada wa Mwenyezi Mungu, na kutegemea uungaji mkono wa watu wakubwa wa Yemeni na watu wote walio huru wa taifa, hawatasita kujiandaa na kuwa tayari kwa hatua pana na zenye nguvu zaidi za kupanuka hadi uvamizi huo utakapokomeshwa na mzingiro unaondolewa dhidi ya watu wanaodhulumiwa wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
View: https://x.com/me_observer_/status/1786393689561956575?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kweli kwa akili yako kabisa , unaamini wanamgambo wa Yemen na silaha zao dhaifu ndo washinde jeshi la Israel, USA, UK? Mlianza hivo hivi kuwa Hamas watamnyosha mtahudi, mara Israel akiingia Gaza Iran anaingilia vita, mara hezibollar wataingia Gaza. Leo yako wapi? Wapalestina wamepoteza maisha yao huko viongozi wa hamas wako Qatar wanakula maisha.Nyie ndio wale wajinga mnamuamini sana mmarekani na muingereza hata akiwambia kuleni sembe ilio oza ni vitamini K mnamini 😄