Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania ikiwa operesheni ya Rafah itaanzishwa na Israel

Nadhani hawajui hata bahari ya Mediterranean Iko wapi, kwa uwezo mdogo wa Yemen ndio aweze kupanua operation zake Hadi Mediterranean kweli ?
Kwani mediterranean na Yemeni mbali!?
Au wewe ndio hujui Mediterranean ilipo?
Usisahau Iran Marine corps wameanza operation ya kuzunguka mediterranean sea yote na atasaidiana na Houthi itapoamua kuanza.
 
Lebanon Hizbollah wameshalipua sana tu kaskazini mwa Israel.
Sasa hivi kule hapakaliki wananchi wamehamishwa kwanza.
Houthi haina silaha dhaifu,kila silaha wanayotumia houthi zinatoka Iran.
Refer vita ya 2014 ambayo Houthi ilijipanga kumpindua Mansour ambaye anaungwa mkono na USA na Saudi Arabia.
Houthi waliweza kumpindua huyo Mansour japo Saudi Arabia na USA walitoa msaada wa kijeshi.
Usisahau silaha zilizokamatwa katika meli ya Iran red sea zikienda Yemeni zimepelekwa Ukraine ili Ukraine akazitumie dhidi ya Russia.
Houthi hana silaha dhaifu.
Kama angekua na silaha dhaifu redsea isingefungwa,usisahau Eilat haifanyi kazi kwa kufungwa upitaji wa meli zinazoelekea Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…