Yemeni na Tanzania uchumi wao unaendana.Kobazi wa Nkasi hawajui Yemeni na Burundi hawana tofauti kwa umaskini
Japo Yemeni inacho cha kujitetea ambacho ni vita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yemeni na Tanzania uchumi wao unaendana.Kobazi wa Nkasi hawajui Yemeni na Burundi hawana tofauti kwa umaskini
Kwani mediterranean na Yemeni mbali!?Nadhani hawajui hata bahari ya Mediterranean Iko wapi, kwa uwezo mdogo wa Yemen ndio aweze kupanua operation zake Hadi Mediterranean kweli ?
Lebanon Hizbollah wameshalipua sana tu kaskazini mwa Israel.Kweli kwa akili yako kabisa , unaamini wanamgambo wa Yemen na silaha zao dhaifu ndo washinde jeshi la Israel, USA, UK? Mlianza hivo hivi kuwa Hamas watamnyosha mtahudi, mara Israel akiingia Gaza Iran anaingilia vita, mara hezibollar wataingia Gaza. Leo yako wapi? Wapalestina wamepoteza maisha yao huko viongozi wa hamas wako Qatar wanakula maisha.