Vikwazo vya Marekani: Huawei yatangaza kuacha kutengeneza simu za viwango vya juu, flagship phones

kumbukeni vitu mnavyotumia katika maisha yenu 70℅ kuna mkono wa China, kutokana na uwezo wetu kuwa mdogo, kuanzia mabasi, machine viwandani na mahospitalini, vyombo vya nyumbani, nguo, bodaboda, mabati nk
Wasingekuwepo tungetumia vya ulaya na marekani.
 
Unaujua kwanza ukubwa wa ZTE?
ZTE ilifanya mauzo ya vifaa kwa Iran na North Korea wakati zimewekewa vikwazo Na Marekani. Katika mauzo hayo ikahusisha teknolojia iliyotoka Marekani. Walipoifatilia wakaipa probation ya miaka mitatu, bado ikadanganya na ikakiuka masharti wakaamua kuifungia kutumia tech yao. Hiyo ilikuwa 2018 wakati ZTE ishakubali kulipa zaidi ya $ bilioni 1 kama faini.

Mwaka 2018 sio mbali kusema ZTE ilikuwa kubwa karibia na Huawei.
Hata hivo Huawei hana kesi yoyote, hizi tuuma za backdoors haziko proved.
 
Airbus alijenga kiwanda ndani ya America , ndio sababu ya kununua bombardier maana akijua ataitengeneza ikiwa kama ndege ya ndani.
America haijawahi kuwa soft kwenye imported products ,
 
Airbus alijenga kiwanda ndani ya America , ndio sababu ya kununua bombardier maana akijua ataitengeneza ikiwa kama ndege ya ndani.
America haijawahi kuwa soft kwenye imported products ,
Yes, hii ni baada ya kupandishwa kwa tarrifs za Bombardier tu. Na Airbus alinunua hii class akijua kuna demand kubwa sana hivo wateja wapo, demand hiyohiyo ilikuwepo kubwa lakini tarrifs kwa Bombardier zilipandishwa.
Nashukuru tumefika kuelewana.
 
Tech ya chipset inabadilika Kila Siku , huwezi ku stock chipset kwa ajili ya matumizi ya baadaye .
Umeongea kishabiki Hadi unasahau facts
Muulize kwanza ataweka stock chipsets za nanometer ipi, maana mwakani tu unaweza kusikia simu za high end zinatumia 2nm wakati wewe una stock ya 7nm, huoni hapo utakua umetoka barabarani?

Hao ni mashabiki wa kichina, wachina weusi hawaangalii facts.
 
Muulize kwanza ataweka stock chipsets za nanometer ipi, maana mwakani tu unaweza kusikia simu za high end zinatumia 2nm wakati wewe una stock ya 7nm, huoni hapo utakua umetoka barabarani?

Hao ni mashabiki wa kichina, wachina weusi hawaangalii facts.
Mantiki yangu ilikuwa hapo ,watu , alipoweka na link ya kusupport hoja yake nikaona Nikae kimya maana ameaua tu kupotea njia
Snapdragon wanatoa chip mpya karibu kila miezi mitatu ,
 
Muulize kwanza ataweka stock chipsets za nanometer ipi, maana mwakani tu unaweza kusikia simu za high end zinatumia 2nm wakati wewe una stock ya 7nm, huoni hapo utakua umetoka barabarani?

Hao ni mashabiki wa kichina, wachina weusi hawaangalii facts.
Uwe unasoma kabla ya kuleta ubishi. Hizo chipset za 5nm anazoweka ni za simu za Mate 40 pekee.

Na hakuna uwezekano wa kuwa na 2nm chipset mwakani. TSMC wametengeneza za 5nm mwaka huu hata kina Qualcomm na NVDIA hawajaweza. Research ya kutengeneza chip imeanza miaka kibao nyuma. Simu ya kwanza kutumia 5nm itakuwa Huawei Mate 40 mwezi September. iPhone 12 itafata ingawa sijui kama ya pili. Mwakani kutumia 2nm haiwezekani kabisa. Haya sio matofali kwamba unafyatua tu
 
Mantiki yangu ilikuwa hapo ,watu , alipoweka na link ya kusupport hoja yake nikaona Nikae kimya maana ameaua tu kupotea njia
Snapdragon wanatoa chip mpya karibu kila miezi mitatu ,
Hakuna mantiki ulitoa. Rudi usome nilichoandika, ulichojibu na nilichokureply tena.

#Nilisema wanachukua chipsets milioni 15.
#Ukadai tech inabadilika hawawezi chukua stock ya chips.
#Nikakwambia hizo chips ni za Mate 40 peke yake, tatizo wewe unaona simu milioni 15 ni nyingi sana kwamba zinatengenezwa kwa miaka.
Huawei kauza simu milioni 55.8 kwa miezi mitatu hii (March-July). Hizo chips 15M zinatumiaje miaka?

Huyo Snapdragon mbele ya TSMC ni mdogo bado. Kutoa chip kila miezi mitatu wakati zote zina nm moja haitishi sana performance, hata MediaTek anaweza toa chip zikatumika kwenye Tecno, akabadili jina na vitu kadhaa zikatumika kwenye Infinix.
 
Tatizo huna habari nyingi za sasa.

Kwa taarifa yako TSMC wameanza kutengeneza 3nm zitakazotumika mwakani.

TSMC revealed some details of its 3nm process - Gizchina.com
 
Masahihisho ni kua


Oppo na Oneplus sio kampuni za kichina.
 
Masahihisho ni kua


Oppo na Oneplus sio kampuni za kichina.
Ungeweka Oppo ni ya wapi.
Hii imetoa OnePlus, Vivo na Realme kama subgroups zake. Ni sawa na Honor ilivyotoka kwa Huawei. Ukitazama kwa makini unaona simu zao zinafanana hasa Vivo na Oppo. Hata Xiaomi naona ina dalili za kuitenga Redmi mbeleni.

"Guangdong Oppo Mobile Telecommunications Corp., Ltd, stylized as oppo, is a Chinese consumer electronics and mobile communications company headquartered in Dongguan, Guangdong. It is a subsidiary of BBK Electronics Corporation along with OnePlus, Vivo, and Realme. Its major product lines include smartphones, audio devices, Blu-ray players, and other electronic products." ...from Wikipedia.
 
Kama unafatilia vizuri flagship phones hutengenezwa na flagship chipset, kwa hiyo Kama anaacha kutengeneza chipset maana yake ni kuwa simu za flagship nazo zinakufa
Hayo umeyasema ww... Vp kama akiamua kutumia flagship chipset za makampuni mengine?
 
Mipango hatari ya Taifa la China italiangusha. Wamarekan wamewekeza trillion of money kulinda Taifa Lao na dunia. Hata Sisi siku tutajifanya tunabadilisha katiba mfalme atawale basi ndio siku Taifa litakuwa ktk mtikisiko. Hivyo tuepuke mambo ya china
 
Hii ni business language ya Huawei kumsanifu mumarekani kwamba vikwazo vyao vimefanya kazi, hii ni vita kama nyingine ambavyo lazima u-divert your enemy's attention aone kwamba ameshinda vita at the first short ,huku na nyie mkiendelea kujipanga upya. Wamarekani pamoja na kuwa pioneer kwenye technology ,China imeshawapa gap kwa mambo mengi. Kumbuka China is a communist country ambao wanapangilia kila kitu including human resources. 9/12 universities in China ni Engineering schools, wakati 3/12 ndio wanafanya arts, universities in China are almost free, while in Western Countries in 2011 walipandisha ada by almost 300%. Obama alimaliza kulipa mkopo wake wa chuo kikuu akiwa anakaribia kuwa rais. UK watu watakua wanarejesha mikopo mpaka their mid 50s years old. Je nani yuko kwenye better position kuzalisha wabunifu kuliko mwingine. Wamarekani wengi walikua wanaenda kusoma vyuo vikuu China kwa sababu ni very extremely cheap ,so with his diplomatic rows unadhani China watawapa admissions kirahisi au visa. The US is shooting itself it the eye.
 
Wakati korona imeshika kasi ulaya, Mchina alikuwa anainyemelea kampuni moja ya kutengeneza chip za Simu ya uingereza. Waingereza wakastuka wakazima dili hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…