Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Yeah jamaa ni think tank yuko vizuri
Sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah jamaa ni think tank yuko vizuri
Unaujua kwanza ukubwa wa ZTE?kwa hiyo unafananisha HUAWEI na ZTE?
Wasingekuwepo tungetumia vya ulaya na marekani.kumbukeni vitu mnavyotumia katika maisha yenu 70℅ kuna mkono wa China, kutokana na uwezo wetu kuwa mdogo, kuanzia mabasi, machine viwandani na mahospitalini, vyombo vya nyumbani, nguo, bodaboda, mabati nk
mkuu kampuni ikiwa kubwa,haitaji mtu akwaminishe sana,zinajitangaza zenyewe tu,mfano samsung,apple,huawei nkUnaujua kwanza ukubwa wa ZTE?
ZTE ilifanya mauzo ya vifaa kwa Iran na North Korea wakati zimewekewa vikwazo Na Marekani. Katika mauzo hayo ikahusisha teknolojia iliyotoka Marekani. Walipoifatilia wakaipa probation ya miaka mitatu, bado ikadanganya na ikakiuka masharti wakaamua kuifungia kutumia tech yao. Hiyo ilikuwa 2018 wakati ZTE ishakubali kulipa zaidi ya $ bilioni 1 kama faini.Unaujua kwanza ukubwa wa ZTE?
Airbus alijenga kiwanda ndani ya America , ndio sababu ya kununua bombardier maana akijua ataitengeneza ikiwa kama ndege ya ndani.Bishana na Boeing wenyewe sasa. Unasema Bombardier alitozwa tarrifs kubwa. Kwani chanzo cha hizo tarrifs kuwa za juu ni nini?
Boeing aliona soko lake linapotea, for your information Delta Airlines ni mojawapo ya wateja watiifu sana wa Boeing. Tena wapo Marekani kwenyewe sasa imagine hao wameopt Bombardier, wengine itakuwaje?
Boeing alifika mamlaka za US kulalamika na ndipo tarrifs zikaongezwa. Baada ya hapo Bombardier akashindwa uza ndege ndipo akauza program kwa Airbus. Airbus haiwezi wekewa tarrifs kwa kuwa tiyari ni giant. Hata hawa kina Embrael wanavutiwa muda.View attachment 1533939
Yes, hii ni baada ya kupandishwa kwa tarrifs za Bombardier tu. Na Airbus alinunua hii class akijua kuna demand kubwa sana hivo wateja wapo, demand hiyohiyo ilikuwepo kubwa lakini tarrifs kwa Bombardier zilipandishwa.Airbus alijenga kiwanda ndani ya America , ndio sababu ya kununua bombardier maana akijua ataitengeneza ikiwa kama ndege ya ndani.
America haijawahi kuwa soft kwenye imported products ,
Muulize kwanza ataweka stock chipsets za nanometer ipi, maana mwakani tu unaweza kusikia simu za high end zinatumia 2nm wakati wewe una stock ya 7nm, huoni hapo utakua umetoka barabarani?Tech ya chipset inabadilika Kila Siku , huwezi ku stock chipset kwa ajili ya matumizi ya baadaye .
Umeongea kishabiki Hadi unasahau facts
Mantiki yangu ilikuwa hapo ,watu , alipoweka na link ya kusupport hoja yake nikaona Nikae kimya maana ameaua tu kupotea njiaMuulize kwanza ataweka stock chipsets za nanometer ipi, maana mwakani tu unaweza kusikia simu za high end zinatumia 2nm wakati wewe una stock ya 7nm, huoni hapo utakua umetoka barabarani?
Hao ni mashabiki wa kichina, wachina weusi hawaangalii facts.
Uwe unasoma kabla ya kuleta ubishi. Hizo chipset za 5nm anazoweka ni za simu za Mate 40 pekee.Muulize kwanza ataweka stock chipsets za nanometer ipi, maana mwakani tu unaweza kusikia simu za high end zinatumia 2nm wakati wewe una stock ya 7nm, huoni hapo utakua umetoka barabarani?
Hao ni mashabiki wa kichina, wachina weusi hawaangalii facts.
Hakuna mantiki ulitoa. Rudi usome nilichoandika, ulichojibu na nilichokureply tena.Mantiki yangu ilikuwa hapo ,watu , alipoweka na link ya kusupport hoja yake nikaona Nikae kimya maana ameaua tu kupotea njia
Snapdragon wanatoa chip mpya karibu kila miezi mitatu ,
Tatizo huna habari nyingi za sasa.Uwe unasoma kabla ya kuleta ubishi. Hizo chipset za 5nm anazoweka ni za simu za Mate 40 pekee.
Na hakuna uwezekano wa kuwa na 2nm chipset mwakani. TSMC wametengeneza za 5nm mwaka huu hata kina Qualcomm na NVDIA hawajaweza. Research ya kutengeneza chip imeanza miaka kibao nyuma. Simu ya kwanza kutumia 5nm itakuwa Huawei Mate 40 mwezi September. iPhone 12 itafata ingawa sijui kama ya pili. Mwakani kutumia 2nm haiwezekani kabisa. Haya sio matofali kwamba unafyatua tu
Masahihisho ni kuaMleta mada tofautisha flagship chipset na flagship smartphone.
Huawei walikuwa wanapata flagship chipset kutoka kwa Taiwanese Semiconductors Manufacturing Corporation (TSMC) ambao ndio the best duniani. Pia walikuwa wanapata baadhi ya components ili watengeneze processors zao za Kirin lakini TSMC watasitisha kuiuzia Huawei kwa kuwa Marekani imetaka kampuni zinazotumia tech yake zisifanye kazi na Huawei labda kwa ruhusa. Hapa hata US hana teknolojia ya maana ya foundry, kina Samsung na TSMC ndio wababe. Kina Qualcomm na Intel Wamarekani ndio wanakuja nyuma.
Huawei kuona hivyo walifanya order ya chipset za kutosha simu millioni 15 tena hizi Huawei Mate 40 ambazo ndo simu za kwanza kutumia 5nm processor. Hata iPhone 12 itazikuta zishatangulia kuwa nayo. Simu nyingine zisizo high end watatumia technology yao kutenegeneza, hawashindwi kutengeneza 16nm. Pia wako bize mno kwenye maabara zao kuibuka na breakthrough. Kwangu mimi teknolojia ya Mchina nasubiri kuipima hapa.
Huawei hafi leo wala kesho. Kwenye soko la China labda serikali inaweza fanya kina Xiaomi, Oppo, OnePlus wauze sana nje kisha waiachie Huawei ijipange upya uku inapokea order za ndani. Baada ya kujipanga itoe product nje.
Huawei ana patents nyingi zaidi za 5G kuliko kampuni yoyote. Akifungiwa kutoa huduma makampuni yatakayotoa yatalipia patent yake. Hapa wanaweza pata kiasi cha kawaida cha pesa.
Screenshot ya link uliyotoa hii hapa. Wapi wamedai wanatoa 2nm chip mwakani?Tatizo huna habari nyingi za sasa.
Kwa taarifa yako TSMC wameanza kutengeneza 3nm zitakazotumika mwakani.
TSMC revealed some details of its 3nm process - Gizchina.com
Ungeweka Oppo ni ya wapi.Masahihisho ni kua
Oppo na Oneplus sio kampuni za kichina.
Hayo umeyasema ww... Vp kama akiamua kutumia flagship chipset za makampuni mengine?Kama unafatilia vizuri flagship phones hutengenezwa na flagship chipset, kwa hiyo Kama anaacha kutengeneza chipset maana yake ni kuwa simu za flagship nazo zinakufa
Mipango hatari ya Taifa la China italiangusha. Wamarekan wamewekeza trillion of money kulinda Taifa Lao na dunia. Hata Sisi siku tutajifanya tunabadilisha katiba mfalme atawale basi ndio siku Taifa litakuwa ktk mtikisiko. Hivyo tuepuke mambo ya chinaBaada ya vikwazo vya Marekani, kampuni ya Huawei imetangaza kuacha kuzalisha flagship chipsets za Krin zinazotumika kuendesha simu za viwango vya juu ama flagship phones kama Huawei P series na Huawei Mate series.
Vikwazo vya Marekani vimefanya imekua ngumu kwa Huawei kupata vifaa vya kutengeneza hizo chipsets kutoka kwa suppliers wake wakubwa kama Qualcomm, TSMC, Samsung na wengine wengi.
Huawei imekiri kua vikwazo vya Marekani vimeanza kung'ata ndani kabisa, hivyo division yake ya chipset Manufacturing inafungwa muda si mrefu.
Ama kweli Marekani acheni aitwe Marekani.
====
SHANGHAI/SHENZHEN, China (Reuters) - Huawei Technologies Co will stop making its flagship Kirin chipsets next month, financial magazine Caixin said on Saturday, as the impact of U.S. pressure on the Chinese tech giant grows.
U.S. pressure on Huawei’s suppliers has made it impossible for the company’s HiSilicon chip division to keep making the chipsets, key components for mobile phone, Richard Yu, CEO of Huawei’s Consumer Business Unit was quoted as saying at an industry event in Shenzhen.
With U.S.-China relations at their worst in decades, Washington is pressing governments around to world to squeeze Huawei out, arguing it would hand over data to the Chinese government for spying. Huawei denies it spies for China.
The United States is also seeking the extradition from Canada of Huawei’s chief financial officer, Meng Wanzhou, on charges of bank fraud.
In May the U.S. Commerce Department issued orders that required suppliers of software and manufacturing equipment to refrain from doing business with Huawei without first obtaining a license.
“From Sept. 15 onward, our flagship Kirin processors cannot be produced,” Yu said, according to Caixin. “Our AI-powered chips also cannot be processed. This is a huge loss for us.”
Huawei’s HiSilicon division relies on software from U.S. companies such as Cadence Design Systems Inc or Synopsys Inc to design its chips and it outsources the production to Taiwan Semiconductor Manufacturing Co (TSMC), which uses equipment from U.S. companies.
Huawei declined comment on the Caixin report. TSMC, Cadence and Synopsys did not immediately respond to email requests for comment.
HiSilicon produces a wide range of chips including its line of Kirin processors, which power only Huawei smartphones and are the only Chinese processors that can rival those from Qualcomm in quality.
“Huawei began exploring the chip sector over 10 years ago, starting from hugely lagging behind, to slightly lagging behind, to catching up, and then to a leader,” Yu was quoted as saying. “We invested massive resources for R&D, and went through a difficult process.”
Hii ni business language ya Huawei kumsanifu mumarekani kwamba vikwazo vyao vimefanya kazi, hii ni vita kama nyingine ambavyo lazima u-divert your enemy's attention aone kwamba ameshinda vita at the first short ,huku na nyie mkiendelea kujipanga upya. Wamarekani pamoja na kuwa pioneer kwenye technology ,China imeshawapa gap kwa mambo mengi. Kumbuka China is a communist country ambao wanapangilia kila kitu including human resources. 9/12 universities in China ni Engineering schools, wakati 3/12 ndio wanafanya arts, universities in China are almost free, while in Western Countries in 2011 walipandisha ada by almost 300%. Obama alimaliza kulipa mkopo wake wa chuo kikuu akiwa anakaribia kuwa rais. UK watu watakua wanarejesha mikopo mpaka their mid 50s years old. Je nani yuko kwenye better position kuzalisha wabunifu kuliko mwingine. Wamarekani wengi walikua wanaenda kusoma vyuo vikuu China kwa sababu ni very extremely cheap ,so with his diplomatic rows unadhani China watawapa admissions kirahisi au visa. The US is shooting itself it the eye.T14 Armata,
Umendika mambo mengi kwa kujichanganya sana.
Anyway, Marekani hana nia ya kuiua Huawei China, ana nia ya kuiondoa kwenye soko la Dunia, basi.
Na hata hayo makampuni mengine siku Marekani akiona yanamletea uzibe anayatwanga vikwazo tu yanajifia, yafanye kazi China.
Kwenye 5G Huawei anamiliki kama 15% patent rights za core components, atapata royalties za kutosha ila royalties sio core business maana sasa makampuni yanafanya utafiti wa 6G, itakuaje huko mbele?
Bado Marekani akitaka kukuondoa sokoni huna namna.