Vikwazo vya Marekani: NEC yasema hatua za kisheria zifuatwe pale panapoonekana pana kasoro

Pompeo mwenyewe kawekewa vikwazo haruhusiwi kukanyaga China na Hongkong.
Sasa Pompeo China akafuate nini?yaani Tanzania mnajilinganisha na China au Amerika?
 
Chanzo mkuu umesahau!
Halafu nawao tuwape vikwazo haiwezekani uchaguzi wao nao ukawa wa fujo kiasi kwamba mpaka Watu wakapoteza Maisha.
Au kunya anye kukutu akinya bata kaharisha!
 
Kuna ulazima wa kwenda Kwao?
 
Mkuu uongo nikitaka kwenda China atanizuia?
 
Chanzo mkuu umesahau!
Halafu nawao tuwape vikwazo haiwezekani uchaguzi wao nao ukawa wa fujo kiasi kwamba mpaka Watu wakapoteza Maisha.
Au kunya anye kukutu akinya bata kaharisha!
Kwani wao wamekataa, nadhani tunaweza kuwawekea vikwazo tu.

Kwa mfano tunaweza kuzuia kuwauzia Tanzanite, nasi turingie cha kwetu.
 
Yaani mkuu Ukitaka kuishi kama sultani kwenye awamu ya huyu Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
LA sivyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Safi sana kiongozi
 
Hivi maisha gani yamekuwa mazuri?

Hivi kufunga fremu za bishara kibao huko Kariakoo ndiyo unayaita, mafanikio ya utawala huu wa awamu ya tano?

Ama kweli kama alivyoongea Jiwe, anataka matajiri waishi kama mashetani!
Kama ulikuwa na biashara fake lazima uifunge kwani hakuna tena mianya ya upigaji.
Mbona Watu wapo wanapiga tu kazi na faida wanapata. Wale waliofunga Maduka kariakoo kaanao vizuri uwaulize kiundani nini tatizo lazima kuna kitu mkuu.
 
Naunga mkono hoja, vikwazo zaidi na viwekwe toka mataifa rafiki wa Marekani, UN na Umoja wa Ulaya, labda hawa watawala wetu wataacha jeuri ya kuvunja haki za binadamu
Hivi marekani yeye anafata haki za binadamu siyo!
 
Uyu Kaijage yaan Mahakama za Tanzania ndio zifanye hukumu ya ukiukwaji wa uchaguzi uliofanyika Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…