NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Wataalumu wa uchumi wa chama cha mapinduzi wamependekeza ianzishwe harambee ili wafanyabiashara wenye mapenzi na chama watakuwa wanachanga bilioni 100 kila mwezi.
Lengo la kukusanya pesa hizo ni kukabiliana na vikwazo vya umoja wa Ulaya, wanadai kama iliwezekana kukusanya bilioni 100 ndani ya siku zisizozidi tatu katika harambee iliyofanyika mlimani city basi hili halitashindikana.
Pendekezo hilo limeshapelekwa ngazi husika kwa ajili ya kulijadili na kulipitisha.