PostGE2025 Vikwazo vya umoja wa Ulaya: CCM kuanzisha harambee kwa wafanyabiashara lengo kukusanya bilioni 100 kila mwezi

PostGE2025 Vikwazo vya umoja wa Ulaya: CCM kuanzisha harambee kwa wafanyabiashara lengo kukusanya bilioni 100 kila mwezi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wataalumu wa uchumi wa chama cha mapinduzi wamependekeza ianzishwe harambee ili wafanyabiashara wenye mapenzi na chama watakuwa wanachanga bilioni 100 kila mwezi.

Lengo la kukusanya pesa hizo ni kukabiliana na vikwazo vya umoja wa Ulaya, wanadai kama iliwezekana kukusanya bilioni 100 ndani ya siku zisizozidi tatu katika harambee iliyofanyika mlimani city basi hili halitashindikana.

Pendekezo hilo limeshapelekwa ngazi husika kwa ajili ya kulijadili na kulipitisha.
20251124_190706.jpg
 
Ulaya hawajaweka vikwazo kwa nchi bali wamezuwia pesa yao kuipa tz, vikwazo wamewekewa Iran, Cuba, Korea kaskazini, Zimbabwe, Urusi
Muwe mnatuliza akili kwenye kuchakata mambo
kuzuiwa kupewa pesa sio kikwazo?ni nini?
 
Back
Top Bottom