NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
- Thread starter
- #21
Wataalumu wa CCM haoHivi wenzetu hawa vichwa vyao vina ubongo au vina matope.
Wataalumu wa CCM haoHivi wenzetu hawa vichwa vyao vina ubongo au vina matope.
Mkuu hivi si ni ya nchi nane ikiwemo Tanzania?Jana kuna Grant ya 10.5 Million USD imeingia naona wanaona haitoshi..
Ndio mgao gawa mara 8Mkuu hivi si ni ya nchi nane ikiwemo Tanzania?
Ukute hao "wataalamu" walioshauri hivyo ni akina baba LEVO.Wataalumu wa uchumi wa chama cha mapinduzi wamependekeza ianzishwe harambee ili wafanyabiashara wenye mapenzi na chama watakuwa wanachanga bilioni 100 kila mwezi.
Itasaidia kupunguza makali kidogoKwa hiyo taifa litaendeshwa kwa bilion 100 kwa mwezi?🤣🤣🤣🤣
akili yako ina kaswendeIran na Cuba, Venezuela wamezuiwa misaada au kufanya biashara?
Hawajui hawa wakianza kukubana wanaenda hatua kwa hatua. Leo wamefuta misaada ya kwenye bajeti, ukiendelea kuleta kiburi, wanazuia kufanya biashara na wewe. Hakuna utalii wala kupeleka bidhaa zako kwao. Baadae ukiendelea na kiburi, wanakuja kuwawekea vikwazo viongozi binafsi na familia zao pamoja na kufungia account na kukamata mali zao. Hatua kwa hatua.Majinga hawajui uchumi the way unavyo fanya kazi nadhani baada ya kunyimwa pesa na EU kama wasipo wajibikia matakwa ya EU kifuatacho kiwe ni kufukuzwa Kwa mabalozi wote wa nchi zilizopo EU then TZ Ipigwe ban kuuza na kununua bidhaa katika nchi zote za EU , Hapo ndio itakuwa patamu sana
Hayo yote ya kubana matumizi yakifanyika ndiyo yanazidisha kuanguka kwa uchumi. Waende kwenye hizo Vitara sijui ina maana kununua tena maelfu ya magari mapya, hizo ni gharama zingine. Na kwa uchumi unaoanguka hayo ma V8 watayapeleka wapi, nani atayanunua au ndiyo watayapaki hadi yaozeane?Serikali ipunguze matumizi, mikoa ipunguzwe kutoka 26 hadi 17 wilaya zipunguzwe kutoka 160+ hadi 80.
Serikali itumie magari aina ya Toyota RAV4 kwa wote wakiwemo mawaziri hadi mikoani na wilaya watumie Suzuki Vitara hata endapo hawa watawala wa sasa wataondolewa mwezi ujao lkn serikali ya mpito itakayokuja ifanye hivyo hivyo.
Posho zote zifutwe na watumishi wote wakiwemo wabunge wabaki na mishahara tu na vikao vyote vifanyike kwa Video Conference badala ya watu kusafiri kutoka wilayani kwenda mikoani au kwenda Dodoma.
Rais asicheze na fedha za umma eti kununulia magoli na fedha za ikulu zifanyiwe ukaguzi mkali kabisa na CAG kwani kuna ubadhirifu mkubwa sana huko.
Wamezuiwa vyote. Iran na Venezuela hawawezi kuuza Marekani na Ulaya, wanauza China na Urusi tu au India.Iran na Cuba, Venezuela wamezuiwa misaada au kufanya biashara?