NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Yah kutoka CCM lakini...Hao ni wachumi kweli?
Jana kuna Grant ya 10.5 Million USD imeingia naona wanaona haitoshi..Hivi wenzetu hawa vichwa vyao vina ubongo au vina matope.
Wauze hayo ma v8 waliyowaoa hadi ma ocd'sHahahaahahaaaa, oookwaaaa!. Wasisahau kupunguza matumizi ya serikali yasiyo ya lazima, waache kununua magari ya kifahari, kulipana posho za hovyo n.k
Ulaya hawajaweka vikwazo kwa nchi bali wamezuwia pesa yao kuipa tz, vikwazo wamewekewa Iran, Cuba, Korea kaskazini, Zimbabwe, UrusiWataalumu wa uchumi wa chama cha mapinduzi wamependekeza ianzishwe harambee ili wafanyabiashara wenye mapenzi na chama watakuwa wanachanga bilioni 100 kila mwezi.
Lengo la kukusanya pesa hizo ni kukabiliana na vikwazo vya umoja wa Ulaya, wanadai kama iliwezekana kukusanya bilioni 100 ndani ya siku zisizozidi tatu katika harambee iliyofanyika mlimani city basi hili halitashindikana.
Pendekezo hilo limeshapelekwa ngazi husika kwa ajili ya kulijadili na kulipitisha.
🙄🙄🙄 akili za kudinyania hizo ...sasa kuzuia au kuzuiwa sindiyo kikwazo au vikwazo ?Ulaya hawajaweka vikwazo kwa nchi bali wamezuwia pesa yao kuipa tz, vikwazo wamewekewa Iran,Cuba,Korea kaskazini, Zimbabwe,urusi
Muwe mnatuliza akili kwenye kuchakata mambo
Iran na Cuba, Venezuela wamezuiwa misaada au kufanya biashara?🙄🙄🙄 akili za kudinyania hizo ...sasa kuzuia au kuzuiwa sindiyo kikwazo au vikwazo ?
Vikwazo ni mambo mbalimbali ...wewe tatizo lako una uanithi wa akili.Iran na Cuba, Venezuela wamezuiwa misaada au kufanya biashara?
Kwahiyo ile missada ya kifedha serikali taipata?Ulaya hawajaweka vikwazo kwa nchi bali wamezuwia pesa yao kuipa tz, vikwazo wamewekewa Iran,Cuba,Korea kaskazini, Zimbabwe,urusi
Muwe mnatuliza akili kwenye kuchakata mambo
Waambie mods warekebishe kichwa cha habari toka vikwazo na kuwa kuzuia pesaUlaya hawajaweka vikwazo kwa nchi bali wamezuwia pesa yao kuipa tz, vikwazo wamewekewa Iran, Cuba, Korea kaskazini, Zimbabwe, Urusi
Muwe mnatuliza akili kwenye kuchakata mambo
Walipeleka barua ya kuomba haki ya kusikilizwa kwa hao unaowaita matajiri waliofilisikaTanzani haihitaji tena ulaya saivi hao nitajiri ileyefilisika lakini bado navaa suti na tai ili aonekane bado ana pesa.