PostGE2025 Vikwazo vya umoja wa Ulaya: CCM kuanzisha harambee kwa wafanyabiashara lengo kukusanya bilioni 100 kila mwezi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tukawaondoe ccm na polisi wao D9 acheni kujitoa akili.

Hakuna taifa linakombolewa kwa kuwekewa vikwazo, sisi ndio tutawatoa watawala dhalimu.
 
Ulaya hawajaweka vikwazo kwa nchi bali wamezuwia pesa yao kuipa tz, vikwazo wamewekewa Iran, Cuba, Korea kaskazini, Zimbabwe, Urusi
Muwe mnatuliza akili kwenye kuchakata mambo
Vikwazo vipo vya aina nyingi kuzuia kupata msaada ni moja ya vikwazo vyao hao jamaa wa Ulaya kama sio vikwazo kwa nini walipiga kura na kupendekeza mambo yao..
 
Vikwazo vipo vya aina nyingi kuzuia kupata msaada ni moja ya vikwazo vyao hao jamaa wa Ulaya kama sio vikwazo kwa nini walipiga kura na kupendekeza mambo yao..
Kupiga kura na kupendekeza hakufanyi kuwa vikwazo
 
Kichwa cha habari kinawafurahisha modes,jf ilipokea dola laki moja toka taasisi za mabeberu
Mabeberu hao ambao mlipeleka barua ya kuomba haki ya kusikilizwa kwenye bunge lao....

Vipi kwenye habari hii hapa chini uliisoma?
Lazima mchanganyikiwe!!!

Tanzania pamoja na nchi nyingine 8 imepokea msaada wa $10.8m kutoka TDF and the World Bank Group​

1 of 4Next Last
Unsubscribe
•••
[IMG alt="stakehigh"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/562/562722.jpg?1753291315[/IMG]

stakehigh​

JF-Expert Member​

Mfuko wa Biashara na Maendeleo (TDF) na Group ya Benki ya Dunia wameingia makubaliano matano ya msaada yenye thamani ya dola milioni 10.8 kwa ajili ya programu ya ASCENT.

Programu hii itatoa mifumo ya kupikia safi na nishati ya jua kwa zaidi ya 350,000 kwa watu milioni 1.8 katika nchi nane za Afrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania, Kenya, na Uganda.

Msaada huu utatolewa kupitia mfumo wa ufadhili wa matokeo wa TDB Group, ambao unalenga kuhamasisha sekta binafsi katika utekelezaji wa suluhisho za nishati. Huu ni mchango mkubwa katika kupunguza upungufu wa nishati unaozikumba sehemu nyingi za vijijini barani Afrika.

========================

Africa continues to face a severe energy deficit, particularly in rural areas where decentralized solutions remain essential. However, the rollout of these solutions depends on financing models that can support companies operating at scales adapted to local realities.

The Trade and Development Fund (TDF), a member of TDB Group, and the World Bank Group announced on Monday, 24 November, that they signed five grant agreements totaling $10.8 million under the ASCENT program.

According to the statement, the financing will support access to clean-cooking technologies and distributed solar solutions in eight African countries: the Democratic Republic of Congo, Kenya, Madagascar, Malawi, Mozambique, Rwanda, Tanzania, and Zambia.

TDB Group will channel the grants through its results-based financing mechanism, which provides payments to private companies based on the number of systems effectively deployed and commissioned.

The program expects to fund the installation of over 350,000 systems, including home solar kits, clean-cooking stoves, and other distributed renewable-energy technologies. The initiative should reach around 1.8 million beneficiaries.

Source: Ecofinagency
 
Hivyo vikwazo vikiwekwa maana yake na wafanyabiashara pia wataathirika, sasa wao watapata wapi hela za kuchota na kuipa serikali?

I smell something fishy. Kuna mchongo wa money laundering unasukwa hapo
 
Aisee hii nchi imechezewa sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…