Eti unga, nina tender ya kulisha wachawi usiku mimi?πAnafikiri bado unahitaji kuwekewa unga ndani π
utalipaje?Tunaenda kwa zamu nataka kulipa kisasi tu ili siku ikitimia niwe nachekea pembeni tu
Hii kamati ikifika kwenu huchomoiEti unga, nina tender ya kulisha wachawi usiku mimi?π
Na bando loh! katika kitu siwezi omba ni bando, fiber kibao kila kona nije kuomba bando lolπ
Vitendo mtaviweza basi π π€Ushaamua kua kungwi wa jf sasa kuna muda ni vitendo
Unahisi unachat na wandengereko wako humu naona! wapeekee unga wamekumissHuyu sio wa gharama mmbona
Ile nahakikisha sikupi nafasi ya kupumua alafu katikati ya mchezo napiga mluziutalipaje?
Endelea kujifariji, huna jinsi!Hii kamati ikifika kwenu huchomoi
Ilikua ni msimu ushapita ule saizi nataka nipate nurse mmoja nimshawishi anichukulie mkopo nitampenda daimaUnahisi unachat na wandengereko wako humu naona! wapeekee unga wamekumiss
Duhh we wa ajabu!π«’Ile nahakikisha sikupi nafasi ya kupumua alafu katikati ya mchezo napiga mluzi
Soon nitatembelea sinza ukisikia jiwe juu ya bati basi toka nje ntakua nimefika tayariEndelea kujifariji, huna jinsi!
Kapambanie kombe!Ilikua ni msimu ushapita ule saizi nataka nipate nurse mmoja nimshawishi anichukulie mkopo nitampenda daima
Eeh unaleta maneno kazini auDuhh we wa ajabu!π«’
Ewaaaah!
Alokwambia nakaa sinza nani?Soon nitatembelea sinza ukisikia jiwe juu ya bati basi toka nje ntakua nimefika tayari
Kikubwa upenyo tuVitendo mtaviweza basi π π€
View attachment 3599855
Wapi sasa niwe napitia pitia mara moja moja tuAlokwambia nakaa sinza nani?