Vile unavyonipa, nawezaje kusahau? - Karibu tuzogoe!

Hahahaa tatizo wazee, itabidi awe na mawe ya kutosha wajukuu tujilambelambe,
Sasa mzee anakosaje mawe, tena hawa hawanaga habari za vilaki laki, hata hujaomba utashangaa kamilioni hako kameingia πŸ˜‚ πŸ˜‚
show tutatafuta hata za nje tu🀭
Kwenye show hapo ndiyo inabidi kuvumilia na kujivika unafiki πŸ˜‚
 
Eti unga, nina tender ya kulisha wachawi usiku mimi?πŸ˜’

Na bando loh! katika kitu siwezi omba ni bando, fiber kibao kila kona nije kuomba bando lolπŸ˜‚
Huyo hizo levels hata haelewi, keshazoea wanawake wake wa Buza au Mburahati!
 
Sasa mzee anakosaje mawe, tena hawa hawanaga habari za vilaki laki, hata hujaomba utashangaa kamilioni hako kameingia πŸ˜‚ πŸ˜‚
umenikumbusha kitu 🀣
Anyways napenda haya mambo mwenzio!🀭
Kwenye show hapo ndiyo inabidi kuvumilia na kujivika unafiki πŸ˜‚
haahahaaa ni mwendo wa ooh daddy, ooh yeaah, fck me harder...ohh pappii... yote yako beb wakati husikii kitu!🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…