Vile vipindi vya TUNATEKELEZA vya TBC bado vinaendelea kuoneshwa ?

Vile vipindi vya TUNATEKELEZA vya TBC bado vinaendelea kuoneshwa ?

Usiforce tufanane we fala.
Cm yangu, budle langu na akili natumia zangu. Labda kama unataka NIKULETEE MOTOO!!!

Vinginevyo usishiriki utaahira wako na mm mbwa we[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
Hahahaah!Jamaa una hasira kishenzi yaani
 
Usiforce tufanane we fala.
Cm yangu, budle langu na akili natumia zangu. Labda kama unataka NIKULETEE MOTOO!!!

Vinginevyo usishiriki utaahira wako na mm mbwa we😈😈😈😈
Tujifunze kuwa wavumilivu kidogo katika kujibizana.
 
Naomba watu wenye ujasiri wa kuitazama TBC wanithibitishie jambo hili , nahitaji kulijua ili nijifunze kitu fulani .

Natanguliza Shukrani .
Chadema mmejiandaa vipi kuchukua kiti
cha uraisi 2025!!??
vipao mbele vyenu ni vipi kwenye sera ya kukuza uchumi!!?
hizi ndio mambo mnatakiwa kujadili acheni hizi cheap politics. Magu ashakuwa nyama ya udongo sshv...
 
Lazima ajadiliwe tu
 
Back
Top Bottom