Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 819
- 1,093
Kuna vyama vilishiriki uchaguzi Mkuu, vinalalamika kwamba CHADEMA Asifanye maridhiano na CCM bali maridhiano yafanywe na vyama vyote.
CHADEMA anataka uwajibikaji kabla ya maridhiano na Msamaha.
Vyama Uchwara vinadai CHADEMA Wasisikilizwe kwani nao wana haki kama chadema.
Sasa mbona Zanzibar kumefanyika maridhiano wameufyata? Mbona hawalalamiki kutokushirikishwa?
Nawauliza CHAUMMA
www.jamiiforums.com/threads/rais-samia-akutana-na-wagombea-urais-kutoka-vyama-16-baada-ya-uchaguzi-mkuu-wa-2025.2428517