Kwani huku bara vyama vipi vilipata 10% mbona vinalilia Maridhiano.Katiba ya Zanzibar inasema kuwa mgombea wa urais wa Zanzibar wa chama kilichoshindwa uchaguzi ambae alipata zaidi ya 10% ya kura atakuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na wabunge wake watateuliwa kuongoza baadhi ya wizara. Kama kuna chama kingine ambacho mgombea wake wa urais wa Zanzibar alipata zaidi ya asilimia 10 za kura kingeshirikishwa. Mpaka sasa hivi ni CCM na ACT Wazalendo peke yake ndio wagombea wake wa urais walipata zaidi ya asilimia 10. Wengine hawahusiki katika jambo hili. Hayo yanayoitwa maridhiano yanatokana na Katiba yao. Katiba ya JMT haina kifungu kama hicho.
Amandla....
Hamna kifungu kinachompa haki aliyeshindwa kushirikishwa katika serikali kama mgombea wake wa urais akipata asilimia fulani ya kura.Kwani huku bara vyama vipi vilipata 10% mbona vinalilia Maridhiano.
Kwenye katiba yao kuna kifungu cha maridhiano? Maridhiano ni blabla za nje za nje ya katiba. Huku Tanganyika vyama vya upinzani vinataka viwepo kwenye maridhiano na sio cdm tu. Mleta hoja anauliza mbona huko Znz hawalilii kuwepo kwenye maridhiano?Katiba ya Zanzibar inasema kuwa mgombea wa urais wa Zanzibar wa chama kilichoshindwa uchaguzi ambae alipata zaidi ya 10% ya kura atakuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na wabunge wake watateuliwa kuongoza baadhi ya wizara. Kama kuna chama kingine ambacho mgombea wake wa urais wa Zanzibar alipata zaidi ya asilimia 10 za kura kingeshirikishwa. Mpaka sasa hivi ni CCM na ACT Wazalendo peke yake ndio wagombea wake wa urais walipata zaidi ya asilimia 10. Wengine hawahusiki katika jambo hili. Hayo yanayoitwa maridhiano yanatokana na Katiba yao. Katiba ya JMT haina kifungu kama hicho.
Amandla....
Janja janja tu