Vile wanawake wanapenda kutuendesha wanaume maskini

Vile wanawake wanapenda kutuendesha wanaume maskini

Yaani mwanamke mmoja anakutoa kamasi,sasa ungekuwa nao wengi kama Mfalme Suleimani. Si tuliambiwa tuishi nao kwa akili.Ukiishi na KE,ishi nae kijasusi,na hakuna adhabu ya kumpa KE kama adhabu ya kisaikolojia.
 
fanya kitu kionekane..fanya kitu kuliko alichofanya babake...
 
Mwanamke akikuzidi elimu na uchumi ndani huwa hakukaliki.

Wanawake wengi wenye hizo qualities mbili nilizozitaja ni wajuaji sana. Haishangazi kuona wanawake ambao ni wanasiasa,madaktari, wahandisi na wanasheria ndoa zimewashinda.
Sio wote lakini
 
Oa mwanamke ambae you can afford to live life minus her .... ku depend sana kwa hao viumbe utateseka maisha yako yote, ona wengi ambao ni wanyenyekevu kwa wake zao pamoja na kua na pesa wanaishi kama matayira furani.......
Umenena vyema
 
Back
Top Bottom