Anko Bantu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 832
- 1,034
VyoteUnamaanisha masikini wa akili ama fedha..??
Sio wote lakiniMwanamke akikuzidi elimu na uchumi ndani huwa hakukaliki.
Wanawake wengi wenye hizo qualities mbili nilizozitaja ni wajuaji sana. Haishangazi kuona wanawake ambao ni wanasiasa,madaktari, wahandisi na wanasheria ndoa zimewashinda.
YesKumekucha
Umenena vyemaOa mwanamke ambae you can afford to live life minus her .... ku depend sana kwa hao viumbe utateseka maisha yako yote, ona wengi ambao ni wanyenyekevu kwa wake zao pamoja na kua na pesa wanaishi kama matayira furani.......
YesKweli mkuu
asante mwalimu kwa bandiko nzuri, binafsi nashukuri kupata maarifa mapya kuhusu mwanamke!
nazidi ku note kwa ajili ya kumpa somo kijana wangu.
🤣🤣🤣🤣🤣🙌Acha basi kunisema