The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Leo kwenye kipindi cha asubuhi cha Wasafi fm wameruhusu kupokea simu za malalamiko ya ukosefu wa maji, kwa hakika ni huzuni na masikitiko makubwa inaonekana eneo kubwa sana la jiji la Dar halina maji kulingana na uwingi wa simu zilizopigwa.
Wapo walioenda mbali zaidi na kusema wamekuwa wakiona kwenye tv matangazo ya eti Rais amemtua mama ndoo kichwani wanajiuliza ni mama yupi na wa wapi katuliwa hiyo ndoo?
Wizara ya Maji
Pia soma:
Wapo walioenda mbali zaidi na kusema wamekuwa wakiona kwenye tv matangazo ya eti Rais amemtua mama ndoo kichwani wanajiuliza ni mama yupi na wa wapi katuliwa hiyo ndoo?
Wizara ya Maji
Pia soma: