Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Kuna mambo yanapendeza sana...Nashauri shemela aachwe apumzike, mweyewe hata hanaga maneno mengi....akitua hapa neno moja tu "ngoja tuone" "watakuja kutoa mwongozo" aiiiii shemelaaaaa we sio chiriku kabisa.
Ukisikia kuokota dhahabu mchangani ndio huku sasa, shunie umeokota.