Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hahaha kama vile nimekumbuka, ila sio kwamba niliibuka tu from no where, zilikua zinatajwa kapo mtu akauliza ni wale cc flani cc flani nikasema hapana sio hao.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaah ulikuwa mtifuano hatari, wengine tukabaki tu tumeduwaa maana kati ya watetezi wake nami nilikuwemo sasa nikashangaa hayo mambo meusi yametokea wapi. Ndio ukaja kuliendeleza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu sasa huyo cc ndio akaja kusema mimi nilimsema nini sijui, ndio nikamind nikaweka na ile screenshot kwamba hakua yeye, muda huo kaishachaaamba wakati hata sikuwahi kumuongelea
Ni zamani sana nadhani 2016 hahahahha