Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kiingereza pia kigumu kwako.Nope ila kweli kiswahili huwa kigumu kwangu
Late 20's to 30'sUmri gani huo mkuu ?
Inategemea na sababu kadhaa...japo sio lazima.Late 20's to 30's
Ndio, ila kwa hicho kipindi vizingiti huwa vingiInategemea na sababu kadhaa...japo sio lazima.
Late 20's to 30's
Kingereza ndo hujui zaidi, labda kilugha chenu!!
Iyo Pete ya ndoa VP au teariNope ila kweli kiswahili huwa kigumu kwangu
Huyu binti atakuwa amekwama pahala maana zamani naye alikuwa moto humu baadaye akapotea na sasa Kaibuka na frustrations. Kuhusu pete, kuna wakati alijitanabahisha kuwa ni singo maza, nadhani alipobwagwa ndipo akajongea JF kama kawaida akapata kiserengeti akidhani anamkomoa mwenye pete yake lakini matokeo unayaona. Pole Unique FlowerIyo Pete ya ndoa VP au teari
Yeah...upo vizuri kwenye lugha ya malkiaNope ila kweli kiswahili huwa kigumu kwangu
'I was finish in everything ' ndo alikuwa anasema nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] savageUkiweza kuelewa hapo, tusaidie na hii nyingine:
'For 2 months tulivyokuwa tunachart his married.'!
Kadri tunavyokuwa ndivyo masuala ya kumuamini mtu yanakuwa finyu, matarajio kuzidi kuwa makubwa na mahitaji ya moyoni kuongezeka.Hivi ni kwanini huwa hivi