Vimbwanga na Visa vya mahusiano ya JF

Vimbwanga na Visa vya mahusiano ya JF

Inategemea na sababu kadhaa...japo sio lazima.
Ni kweli, ila tafiti zinaonyesha kuwa kipindi hiki huwa kigumu kusettle tofauti na tunavyoambiwa na wazazi.
Na cha kushangaza wazazi wetu wengi walisettle early to mid 20's
 
Kuwa na mpenzi/rafiki toka Online n sawa na kushkwa na kijambo wakat unajua fika unatumbo la kuhara unaweza hisi unataka kujamba kumbe n uharo unatoka,na unaweza hisi n uharo kbsa ukakimbilia chooni kufika unajiachia kinatoka kijambo.

vitu ni 50/50 yani hamna guarantee.
I second you
 
humu utapeli lazima, mitandao imegubikwa na washenz kuliko wanaojielewa. So far sina mahusiano na mtu JF ila nmepata marafiki wanaojielewa ambao tumeonana na tunajadili vitu vya msingi. Shout to u my people nawapenda sana!!!
 
kuna mtoto hapa namuelewaga sema ndiyo hivyo tena nahofia atanipa za uso
 
Back
Top Bottom