Vimbwanga na Visa vya mahusiano ya JF

Inategemea na sababu kadhaa...japo sio lazima.
Ni kweli, ila tafiti zinaonyesha kuwa kipindi hiki huwa kigumu kusettle tofauti na tunavyoambiwa na wazazi.
Na cha kushangaza wazazi wetu wengi walisettle early to mid 20's
 
I second you
 
humu utapeli lazima, mitandao imegubikwa na washenz kuliko wanaojielewa. So far sina mahusiano na mtu JF ila nmepata marafiki wanaojielewa ambao tumeonana na tunajadili vitu vya msingi. Shout to u my people nawapenda sana!!!
 
Ukiweza kuelewa hapo, tusaidie na hii nyingine:

'For 2 months tulivyokuwa tunachart his married.'!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mtu natamani kudate naye humu Ila ....

Basi tu...
 
kuna mtoto hapa namuelewaga sema ndiyo hivyo tena nahofia atanipa za uso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…