Mi nalala mpk pens down!MIE NILIKUWA NA KOPI MASWALI KATIKA question paper NAHAMISHIA KATIKA booklet.. mpaka muda unafika..
alaf MTIHANI wa MATHEMATICS unalala USINGIZI HAUJI.. unakuwa BORED.. alaf masaa ma 3.. unachoka.. unaanza kuhesabu mabati... ukichoka unalalia desk kama MBWA KOKO.. yaan hatari
Unahesabu na vitobo vya misumari kwenye bati
Aiseeh![emoji23] [emoji23] hapo kweli uliprove..yaani kuna walimu hawako serious jamaniNa kuna pepa niliongoza .... Nilikua narudia yale nayoyaandika nltaka niprove ujinga wa mwalimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka o level kuna Dada mmoja aisee yule Dada alikua ananiumiza kichwa...somo la history anajaza karatasi hadi 6 na kamuandiko kake kalikua kadogo sana
Nikawa najiuliza anaandika kitu gani jamani
Hahahahahaaaa aiseeee.Kuna wakat pepa ikiwa ngumu na muda unaenda, nilikuwa najihisi bao linataka kutoka
Tuko wengi wengi kidogo, mimi kwenye pepa washkaji huwa wananimaind sana coz hata wakiniita huwa nageuka nawasikiliza then naendelea na mambo yangu. Huwa sipendi kabisa kusumbuliwa kwenye chumba cha mtihani. Na hata pepa likinigonga huwa sishawishiki hata chembe na inawezekana hata mtu akinipa majibu nikayakataa. Ijumaa iliyopita kulikuwa na test ya somo flani lina hesabu na mimi sehemu aliyotoa sikusoma nilikuwa naipita tu, nilichofanya nikatunga kanuni yangu nikafanya swali na nikajaza karatasi zote alizoleta mwalimu. Nasubiri zirudi nione nimescrore ngapiππππYawezekana mm ndio mtu pekee duniani nisiyependa kuangalizia wala kuuliza jibu mtu. Natumiaga akili yangu tu
acha tu watu tumekutana na matukio hata ukitaka kutengeneza movie ya comedy tena hollywood itauza sana tu πππ[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] safi sanaa toba nafsi yangu
Ila wewee jamaa una storiiiiiii
Nakumbuka enz hizo pandahill kuna ticha mmoja mlevi alisahisha marking scheme yake akapata 47 .. Aljsahau ... Alkua anasahisha huku amelewa ... Siku anakuja kugawa pepa ... Wa kwanza nan huyu hajaandika jina ... ***** hahaa kumbe ni yeyeNakumbuka o level kuna Dada mmoja aisee yule Dada alikua ananiumiza kichwa...somo la history anajaza karatasi hadi 6 na kamuandiko kake kalikua kadogo sana
Nikawa najiuliza anaandika kitu gani jamani
Nimecheka sanatukiwa chumba cha mtihani CBE enzi hizo ukiona math ngumu unamtengenezea jamaa wa DIT kitambulisho chenye jina lako anenda kupiga paper fresh
sasa masnitch hawakosekani kumbe wakawatonya viongozi siku ya paper tunashangaa wasimamizi wanaingia na polisi venue after venue walipofika venue letu lilikuwa ni T4 bonge la hall wanakuja na mashine kama ya supermarket ile wanamulika kwenye kitambulisho kama kimetengenezwa CBE inapiga beep kama umetengeza nje hailii unapigwa pingu
nakumbuka kuna jamaa wa DIT alitoka mbio akampiga push HOD mmama alivyodondoka akamanyang'anya ile karatasi tuliyosign IN akakikimbia nayo alikimbizwa na polisi akaruka ukuta akadondokea makaburi ya upanga akatokomea ππππ
Nimecheka sana
Ilinitokea pale BIAFRA nilipewa paper naona empty nashangaaa wazungu hao harafu abadae nashangaaa majibu yamekuja na nikafauru vizuei tuHahahahaa nshawahi kuipata hii hali, nilikua sioni kitu yani empty, nilitamani kupizi
Glycolysis hii mkuu kitambo sana RESPIRATION [emoji23] [emoji23] [emoji23]Upo kwenye mtihan unakuta mwana anatumia vifaa vyote vya mkebe hafu wewe kapuku hahahaha ... Another booklet please akat wewe ndo kwanza page tatu unahangaika wapi ukondens hata kanyimbo ili umeonekana umeandika sana nyie jaman shule ... Shule achen iitwe shule .. Nawasalimu ndugu zangu pcb popote mlipo ... Phosphoenol pyruvate halet tena pyruvate now days wala atp .. Naye vyuma vimekaza .......
Mambo ya citrate to isocitrate by aconitase enzyme then to alpha ketoglutarate followed by succinate then to fumerate hapo enzyme ni dehydrogenase enzymes then to malate then to oxaloacetate ... Mkuu kitambo ...Glycolysis hii mkuu kitambo sana RESPIRATION [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha hii kiboko kabisaNakumbuka enz hizo pandahill kuna ticha mmoja mlevi alisahisha marking scheme yake akapata 47 .. Aljsahau ... Alkua anasahisha huku amelewa ... Siku anakuja kugawa pepa ... Wa kwanza nan huyu hajaandika jina ... ***** hahaa kumbe ni yeye
tukiwa chumba cha mtihani CBE enzi hizo ukiona math ngumu unamtengenezea jamaa wa DIT kitambulisho chenye jina lako anenda kupiga paper fresh
sasa masnitch hawakosekani kumbe wakawatonya viongozi siku ya paper tunashangaa wasimamizi wanaingia na polisi venue after venue walipofika venue letu lilikuwa ni T4 bonge la hall wanakuja na mashine kama ya supermarket ile wanamulika kwenye kitambulisho kama kimetengenezwa CBE inapiga beep kama umetengeza nje hailii unapigwa pingu
nakumbuka kuna jamaa wa DIT alitoka mbio akampiga push HOD mmama alivyodondoka akamanyang'anya ile karatasi tuliyosign IN akakikimbia nayo alikimbizwa na polisi akaruka ukuta akadondokea makaburi ya upanga akatokomea ππππ
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] safi sanaa toba nafsi yangu
Ila wewee jamaa una storiiiiiii
Duuuh hatari, akili kubwa sana hii linajua kufanya calculation vizuri