Vimbwanga ndani ya vyumba vya mtihani.

Mkuu mimi tangu nimeanza kusoma mitihani iliyonikamata kabisa ni michache mno, mara nyingi huwa namaliza kabla ya muda kwa kuwa naelewa nijibu nini japo ufaulu wangu ni wa wastani.
πŸ˜› πŸ˜›
 
Muda wa kulala kwenye mtihani unautoa wapi..
hizi ni chai tu
Mkuu kuna wakati inatokea hususani kwenye masomo usiyo ya penda. Mfano mm nilisinzia kwenye mtihani wa Geography form four
 

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ uuwi nimecheka sana, hii story itakuwa sio ya zamani sana matent yale sidhani yana zaidi ya 5 or 6 years
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ uuwi nimecheka sana, hii story itakuwa sio ya zamani sana matent yale sidhani yana zaidi ya 5 or 6 years

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilikuwa 3rd yr hyo july 2015
 
Zamani za kale huko Kagera

G2 ilikuwa pepa la mwisho...basi wana hatuna habari...tunajijazia zetu madude...mabag yapo nje ya mlango tuwahi zetu meli

Nadhani matokeo hayakuwa one ya tano sababu ya hii pepa

Tulikuwaga wajinga kisengerema
 
Kuna invigilator mmoja aliwahi kusema

'Hakikisha unachokijaza kina_make sense kwanza kwako...kama hakimake...kusanya'

Ahahahaha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
 
πŸ˜€ 2011-2013 diploma.
kuna mtu kanambia huyo jamaa wa DIT aliyekuwa anatufanyiaga paper za math na operation research hadi akatakata kukamatwa kumbe alikuwa diploma kipindi hicho... naskia alivyomaliza diploma DIT akahamia CBE kupiga bachelor ya legal and industrial metreology nov 2015- july 2018 naona alipapenda CBE akaamua kuhamia kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ too bad me nilikuwa nimeondoka ningetaka kujua kama bado aliendeleza ndondo πŸ˜‚
 
Ha ha ha ha ha you made my day!!!!
Lol
 
ukute tumewahi hadi kupishana kwenye notes board za COBESO pale πŸ˜‚πŸ˜‚ maana mimi ilikuwa 2012-2015

πŸ˜€ inawezekana tulipishana ingawa kipindi kile kutokana na ufinyu wa madarasa tulipangiwa CCC kule upanga . huyo jamaa wa DIT kanichekesha akahamia kabisa CBE πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜€ inawezekana tulipishana ingawa kipindi kile kutokana na ufinyu wa madarasa tulipangiwa CCC kule upanga . huyo jamaa wa DIT kanichekesha akahamia kabisa CBE πŸ˜€πŸ˜€

me mwenyewe nimecheka sana niliposikia mndewa kamaliza CBE mwaka huu πŸ˜‚πŸ˜‚ nikikumbuka lile push alilompiga yule msimamizi sijui alikuwa akikutana naye inakuaje πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…