Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
umenifanya nicheke km mwehu.....Ndo urithi wa kitaaluma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenifanya nicheke km mwehu.....Ndo urithi wa kitaaluma
"Haina shida hata mke wa jirani akishinda kwangu kutwa pia ni ujirani nao"Uswahilini mtt wako kufanana na jirani ndo ujirani mwema..
Huku kwetu kibanda umiza timu ikifungwa utapewa chumvi ulambe badala ya glucose...hawakupi mkate wala nini kubana gharamaHapo kwenye namba 4 huku uswazi kwetu unapata shingo ya kuku chipsi kwa mbali unarudi unasonga nguna yako basi burudani.
Kwenye vibanda umiza hasa kwenye siku za mechi kama timu yako imefungwa utalishwa mkate na togwa au mihogo na maji ya dripu Yale.
Uswazi ndo home
Wapi Bitoz
Kuna siku shabiki wa arsenal alipewa mkate togwa uji ugali miguu ya kuku na maji ya dripu Yale. Unakula hapo hapo ukibakisha utasikizwa hadi kwako huku unaimbiwa [emoji445] mfungulie aonje, mfungulie aonje[emoji445]Huku kwetu kibanda umiza timu ikifungwa utapewa chumvi ulam be badala ya glucose...hawakupi mkate wala nini kubana gharama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uswahilini raha bwana...Proud to be waswaz.....Kuna siku shabiki wa arsenal alipewa mkate togwa uji ugali miguu ya kuku na maji ya dripu Yale. Unakula hapo hapo ukibakisha utasikizwa hadi kwako huku unaimbiwa [emoji445] mfungulie aonje, mfungulie aonje[emoji445]
Sio mchezo aisee. HahahaUswahilini raha bwana...Proud to be waswaz.....
Umetisha sana
Hahaha we noma aisee. Nakumbuka siku ya fainali timu ya kitaa imechukua ndoo basi tuanapita magenge huku tuanshangalia hiyo mida ya 12 kuelekea kimoja. Hapo ni kuiba mwanzo mwishoTukiwa akinda nakumvuka tulikuwa na mchezo wa kusubiri giza liingie kisha tunaenda kununua vitumbua kwa SH. 5 KUBWA ili muuzaji ajue ni Sh 20 ...duh tulitamba sana
Mechi zenyewe refa anapuliza filimbi ya kumaliza gemu akiwa tyr yupo kibarazani kwa watu kwa kuhofia kichapo....Halafu madingi wanoko walikuwa na tabia ya kukamata mpira kisa umeingia nyumbani kwakeHahaha we noma aisee. Nakumbuka siku ya fainali timu ya kitaa imechukua ndoo basi tuanapita magenge huku tuanshangalia hiyo mida ya 12 kuelekea kimoja. Hapo ni kuiba mwanzo mwisho
Hahahaha umenikumbusha mbali aisee. Wahuni kibao uwanjani wanavuta ndumu a.k.a ganjaMechi zenyewe refa anapuliza filimbi ya kumaliza gemu akiwa tyr yupo kibarazani kwa watu kwa kuhofia kichapo....Halafu madingi wanoko walikuwa na tabia ya kukamata mpira kisa umeingia nyumbani kwake
Hahahahahaa Bitoz nakukubali sana.Tukiwa akinda nakumvuka tulikuwa na mchezo wa kusubiri giza liingie kisha tunaenda kununua vitumbua kwa SH. 5 KUBWA ili muuzaji ajue ni Sh 20 ...duh tulitamba sana
Asante,kama ninavyopenda vituko vyako.Hahaaaaaaa
Napenda sana ubuyu wako...
Karibu Uswahilini kwetu tule vishombo