Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,056 Jun 6, 2016 #101 Szczesny said: Sasa jimena upendweje jamani!!!? We rudi kaangalie kwanza post yangu kule Then njoo utie neno hapa Click to expand... Halafu katika huu uzi Bitoz katisha zaidi kwenye namba 4
Szczesny said: Sasa jimena upendweje jamani!!!? We rudi kaangalie kwanza post yangu kule Then njoo utie neno hapa Click to expand... Halafu katika huu uzi Bitoz katisha zaidi kwenye namba 4
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,923 Jun 6, 2016 #102 Jimena said: Halafu katika huu uzi Bitoz katisha zaidi kwenye namba 4 Click to expand... Hahahaha Kweli , halaf nikajua ile post tuko Uwanja wa nyumbani kule
Jimena said: Halafu katika huu uzi Bitoz katisha zaidi kwenye namba 4 Click to expand... Hahahaha Kweli , halaf nikajua ile post tuko Uwanja wa nyumbani kule
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,553 Jun 19, 2016 Thread starter #103 Szczesny said: Hahahaha Kweli , halaf nikajua ile post tuko Uwanja wa nyumbani kule Click to expand... Unapenda kugeuza viatu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Szczesny said: Hahahaha Kweli , halaf nikajua ile post tuko Uwanja wa nyumbani kule Click to expand... Unapenda kugeuza viatu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,553 Jul 28, 2016 Thread starter #104 Togwa ndo kinywaji chetu Uswaz
The Certified JF-Expert Member Joined Feb 10, 2016 Posts 910 Reaction score 774 Feb 9, 2017 #105 Makapuku mbona hamji??
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Feb 10, 2017 #106 [emoji1] [emoji1] [emoji1]
mzeewangese JF-Expert Member Joined Feb 11, 2016 Posts 643 Reaction score 499 Feb 10, 2017 #107 Ukienda dukani na shilingi elfu kumi unaangalia kuna nanai pembeni kuna wazee wa viroba wanategs unasikia afisa tuungie tuamshe da hatari sana
Ukienda dukani na shilingi elfu kumi unaangalia kuna nanai pembeni kuna wazee wa viroba wanategs unasikia afisa tuungie tuamshe da hatari sana
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,553 Aug 17, 2018 Thread starter #108 mzeewangese said: Ukienda dukani na shilingi elfu kumi unaangalia kuna nanai pembeni kuna wazee wa viroba wanategs unasikia afisa tuungie tuamshe da hatari sana Click to expand... Siku hizi viriba vimeshapigwa marufuku Kitambo sana....
mzeewangese said: Ukienda dukani na shilingi elfu kumi unaangalia kuna nanai pembeni kuna wazee wa viroba wanategs unasikia afisa tuungie tuamshe da hatari sana Click to expand... Siku hizi viriba vimeshapigwa marufuku Kitambo sana....