KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,519
- 6,518
Ukiona hayo usimhoji saaana jirani nawe unamtafuta mtu wake na unasubiri wakati muafaka wa kuukonga mtimaUswahilini mtt wako kufanana na jirani ndo ujirani mwema..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hayo usimhoji saaana jirani nawe unamtafuta mtu wake na unasubiri wakati muafaka wa kuukonga mtimaUswahilini mtt wako kufanana na jirani ndo ujirani mwema..
Hahahaha hapanaOyo vp bado umepaliwa na pilau la pasaka....
Duuuh ngoja nijipangeMwaga vina basi
Huku kwetu uswazi hatugombani, kila mtu anaraha, kwa kawaida huku mtindo ni kuviziana na kucheeka unapomtaimu mwenzio. Huku ukiwa na hasira utagombana na watu mwishowe watakuona chizi. Wakikugongea mtu wako, unatulia, unavizia, akijipindua mtu wake unagonga unamaliza machungu.Huo ujirani mwema hapana aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hata kuibiana malapa na kuku ni ujirani mwema piaHuku kwetu uswazi hatugombani, kila mtu anaraha, kwa kawaida huku mtindo ni kuviziana na kucheeka unapomtaimu mwenzio. Huku ukiwa na hasira utagombana na watu mwishowe watakuona chizi. Wakikugongea mtu wako, unatulia, unavizia, akijipindua mtu wake unagonga unamaliza machungu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] naona mistari![]()
Cheki Dogo langu....
Ahhahh sana, ukimuona mtoto wa jirani ana ndala zako, usimwangalie, fanya kama hujamuona. Taimu mlangoni kwao, akija mgeni mtume mtoto fasta akafanye mambo.Hata kuibiana malapa na kuku ni ujirani mwema pia
Shida ni kuiba ng'ombe coz ukichinja kule kichwa kinasumbua kutumbukiza chooni....tunaishia kuibiana kuku na bata tuAhhahh sana, ukimuona mtoto wa jirani ana ndala zako, usimwangalie, fanya kama hujamuona. Taimu mlangoni kwao, akija mgeni mtume mtoto fasta akafanye mambo.
Ukiona manyoya ya kuku wako yamemwaga jalalani, mezea usipaniki, tafuta vimahindi ukiona kuku wake unamwaga mlangoni kwako. Unadondosha moja moja mpaka ndani kwako. Akichoma ndani, fasta unamwahi na kisu. Chinja tulia.
Kwa hata ng'ombe washawahi kumuona laivu, ng'ombe kwetu wanamwona kwenye picha. Ukimleta, siku ya kumchinja mtaa mzima utajaa kwako.Shida ni kuiba ng'ombe coz ukichinja kule kichwa kinasumbua kutumbukiza chooni....tunaishia kuibiana kuku na bata tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ahhh sana tuuh!Hatari sana km Ebola....
nayakuBALII SANAA tuu.. ila nimekuzid IQLakini c umeyapenda....