Vimbwanga Uswahilini !!!

Hapo kwenye namba 4 huku uswazi kwetu unapata shingo ya kuku chipsi kwa mbali unarudi unasonga nguna yako basi burudani.

Kwenye vibanda umiza hasa kwenye siku za mechi kama timu yako imefungwa utalishwa mkate na togwa au mihogo na maji ya dripu Yale.

Uswazi ndo home

Wapi Bitoz
 
Huku kwetu kibanda umiza timu ikifungwa utapewa chumvi ulambe badala ya glucose...hawakupi mkate wala nini kubana gharama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huku kwetu kibanda umiza timu ikifungwa utapewa chumvi ulam be badala ya glucose...hawakupi mkate wala nini kubana gharama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna siku shabiki wa arsenal alipewa mkate togwa uji ugali miguu ya kuku na maji ya dripu Yale. Unakula hapo hapo ukibakisha utasikizwa hadi kwako huku unaimbiwa [emoji445] mfungulie aonje, mfungulie aonje[emoji445]
 
Uswahilini raha bwana...Proud to be waswaz.....

Umetisha sana
 
Tukiwa akinda nakumvuka tulikuwa na mchezo wa kusubiri giza liingie kisha tunaenda kununua vitumbua kwa SH. 5 KUBWA ili muuzaji ajue ni Sh 20 ...duh tulitamba sana
Hahaha we noma aisee. Nakumbuka siku ya fainali timu ya kitaa imechukua ndoo basi tuanapita magenge huku tuanshangalia hiyo mida ya 12 kuelekea kimoja. Hapo ni kuiba mwanzo mwisho
 
Hahaha we noma aisee. Nakumbuka siku ya fainali timu ya kitaa imechukua ndoo basi tuanapita magenge huku tuanshangalia hiyo mida ya 12 kuelekea kimoja. Hapo ni kuiba mwanzo mwisho
Mechi zenyewe refa anapuliza filimbi ya kumaliza gemu akiwa tyr yupo kibarazani kwa watu kwa kuhofia kichapo....Halafu madingi wanoko walikuwa na tabia ya kukamata mpira kisa umeingia nyumbani kwake
 
Mechi zenyewe refa anapuliza filimbi ya kumaliza gemu akiwa tyr yupo kibarazani kwa watu kwa kuhofia kichapo....Halafu madingi wanoko walikuwa na tabia ya kukamata mpira kisa umeingia nyumbani kwake
Hahahaha umenikumbusha mbali aisee. Wahuni kibao uwanjani wanavuta ndumu a.k.a ganja
 
Dah umesahau kutoa dodo a.k.a mtungo ni kitu cha kawaida sana

mtoto anapelekwa kwa wababa watano kila mmoja anabiwa wake hatari sana

ila ndivyo tunavyoishi
 
Uswaz bana nyumban kwenu mnaweza kosa sehem ya kukaa na kupunga upepo..mnahamia kwenye tairi la barabarani nyumba nzima...mnatandika mkeka unaziba had barabara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…