Vimbwanga Uswahilini !!!

Ukienda dukani na shilingi elfu kumi unaangalia kuna nanai pembeni kuna wazee wa viroba wanategs unasikia afisa tuungie tuamshe da hatari sana
 
Siku hizi viriba vimeshapigwa marufuku

Kitambo sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…