Vimbwanga vya Hamas kuachia mateka ni bora kuliko mechi za Simba na Yanga

Vimbwanga vya Hamas kuachia mateka ni bora kuliko mechi za Simba na Yanga

Hata akili ya kuchanganua kilichoandikwa huna, kanunue mafuta ya alizeti yenye upako
Wewe mwenye akili naona umeshapa mabikra 72😀😀😀
downloadfile-1.png
 
Ndio ulitaka iweje 1 kwa 1 wkt magaid waisrael waliwateka wapalestina 10000!+ wkt wapelestina ktk kuwakomboa ndugu zao waliotekwa na Israel wao waliteka waisrael 200+ ivo lazima esabu iwe ivo 1 kwa 50 Netanyahu siku nyingi anaigomea iyo lkn sasa maji ya shingo kashindwa kuwapata meteka wake!! pesa kibao zimepotea kulipa wanajeshi ambao wahuni tu wenyewe wanaenda umo gaza kujificha seem kimya siku ziende wakamue pesa Netanyahu kashtuka na yeye kwenda mwenyewe awezi katupa taulo tu uwanjani!!
Hali ya afya ya Netanyahu haijulikani ikoje baada ya operesheni juzu juzi na presha.
 
Zaidi ya mwaka mmoja taifa teule la mungu linapigana na panya road HAMAS na limeshindwa kubaini wapi HAMAS na mateka walikuwa.. nonsense kabisa
Taifa teuli linaoigana na panya roadi🤣🤣🤣🤣

📌Wanaoamini Israeli ni taifa teule wajipeleke kwa mkemia mkuu wakapimwe MKOJO!!!
 
Back
Top Bottom