Wewe mwenye akili naona umeshapa mabikra 72๐๐๐Hata akili ya kuchanganua kilichoandikwa huna, kanunue mafuta ya alizeti yenye upako
Hali ya afya ya Netanyahu haijulikani ikoje baada ya operesheni juzu juzi na presha.Ndio ulitaka iweje 1 kwa 1 wkt magaid waisrael waliwateka wapalestina 10000!+ wkt wapelestina ktk kuwakomboa ndugu zao waliotekwa na Israel wao waliteka waisrael 200+ ivo lazima esabu iwe ivo 1 kwa 50 Netanyahu siku nyingi anaigomea iyo lkn sasa maji ya shingo kashindwa kuwapata meteka wake!! pesa kibao zimepotea kulipa wanajeshi ambao wahuni tu wenyewe wanaenda umo gaza kujificha seem kimya siku ziende wakamue pesa Netanyahu kashtuka na yeye kwenda mwenyewe awezi katupa taulo tu uwanjani!!
Hezbollah hawana hamu kile kipigo kizito kimewatosha๐Nazungumzia Hizbollah muda wowote kinaanza upya kuanzia sasa
Taifa teuli linaoigana na panya roadi๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃZaidi ya mwaka mmoja taifa teule la mungu linapigana na panya road HAMAS na limeshindwa kubaini wapi HAMAS na mateka walikuwa.. nonsense kabisa